Mada ya wanyama

Mbona inasemekana white great shark ni msafisha bahati kwamba chochote akionacho baharini ye twende, hata mifuko au plastics zinazodondoshwa kwenye meli ye hutafuna tafuna na kuvikatakata.
Inakuwaje kwa hawa white shark wanaopatikana ukanda wa bahari ya Hindi tokea South Africa wanapandisha juu mpaka Afrika mashariki na hakuna seals huku kwetu wanafuata nini?
 
Alipopokonywa miguu alipokonywa na vingine
 
tulikuwa tunaamini zamai kwamba mbuni akifkuzwa na mnyama ili awe kitoweo basi huzamisha kichwa chake ardhini akijua amejifiiichaaa...
ila ukweli ni huwa anaangalia mayai yake kama yameanza kutotoa na kuyageuza geuza yazidi kupata joto.
huyo ni mbuni dume pichani.
 

Attachments

  • 2674034_1611440814488.jpeg
    25.8 KB · Views: 68
Ila mbuni dume hatagi lakini
 
Seal ndiyo yule chui wa baharini?
 
Duh
 
hatagi ila yupo bega kwa bega na mke wake katika majukumu ikiwemo kulea vifaranga,kuwalinda na adui na kuwafundisha tabia njema
Ooh kumbe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kuna ndege wanaitwa cuckoo sifa yao kubwa ni kuvamia viota vya ndege wengine, pengine hii sifa na wewe ndiyo unaijua. Wasumbufu, wakorofi n wana ubabe hivi.

Tabia nyingine ya cuckoo ni kutopenda kulea mayai yao na vifaranga vyao. Now logic itakufanya ujiulize kama hawalei ni nani wanalea? Jibu ni simple, ndege wengine hua wanalea mayai ya cuckoo.

You see cuckoos hutafuta kiota ambacho tayari kina mayai kisha cuckoo jike huenda kutaga hapo na kuyeya. Ndege mwenye kiota ataatamia mayai, atalisha vifaranga kisha siku ikifika atashangaa kuna kibaba kipo hapo hakielewi na amekilisha tangu kichanga, by that time katakua kanaweza kupaa so katajiondokea.

Now siyo kila ndege ni wajinga au siyo? Wengine wataangalia na kugundua hichi siyo kifaranga changu so ataanza kukatenga kwa kutokapa chakula ambapo cuckoos huteua genge la ndege kadhaa ambao humtembelea yule mama ndege aliyegoma kulisha kifaranga cha cuckoo na kumshushia kipigo.

Mostly baada ya hapo huyu kifaranga hulishwa vyema kabisa mpaka anakua na kuondoka zake.
 
Kuna binadamu wana tabia kama za huyu ndege...sasa sijui nani kaiga kwa mwenzake
BTW Castr hii mada umeitendea haki sana...nimejifunza na kuelimika mengi..big up sana[emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…