Mada ya wanyama

Mada ya wanyama

Swali ni kuwa uwezo wa nyoka kuongea na akili zake zimeenda wapi? Inawezekana nyoka huwa wanatuchora tu ila wanatusikia na wanatuelewa.

Nyoka wa kwenye Biblia ni nyoka wa mafumbo (figurative snake) haina maana ya huyu nyoka mnyama anayegonga watu, kumbuka katika elimu za roho (maandiko matakatifu) lugha za aina hiyo ni nyingi sana na inatakiwa kuchunguza kabla ya kutoa tafsiri ya moja kwa moja (literal meanings).

Katika lugha ya kiroho Nyoka inawakilisha mtu au kiumbe yeyote mbaya, katika muktadha wa Adam na Hawa yule nyoka anayetajwa kumhadaa Hawa ni Mtu muovu na wala hakuwa nyoka--mnyama kwani haitatokea na haijatokea hata siku moja hadi kiyama nyoka- mnyama kumzidi akili binadamu.
 
Naona bado kuna mkanganyiko kwenye hili..hasa ile laana ya kuambiwa ataenda kwa tumbo
 
Kuenda kwa tumbo ni katika maana hiyo hiyo ya "figurative" (symbolic), unaposema fulani "atasota", kusota kwa maana ya moja kwa moja ni kutembelea makalio kwa kujiburuza ardhini lakini maana ya figurative ni kupata shida kimaisha nk, hivyo kusota ni sawa na kutembelea tumbo kwa nyoka kuhusiana na binadamu.

Maana nzima ya nyoka kutembelea tumbo katika muktadha wa Adam na Hawa ni huyo nyoka (mtu muovu) atapigika, atasota nk, katika maisha.

Watu wengi sana tunakosea sana kutafsiri baadhi ya maneno ya kiroho "literally" ni makosa kama hayo ndiyo yamepelekea kuamini KIMAKOSA kwamba Yesu alikufa akafufuka na akapaa KIMWILI mbinguni na yupo hai hadi hii leo huko juu, imani potofu kama hiyo hata Wayahudi walikuwa nayo kabla hata Yesu hajazaliwa, wao waliamini kwamba Nabii Eliya alipaa juu mbinguni na angeshuka kabla ya Masiha (Yesu) hajatokea, Yesu alipotokea wakamuuliza; je mbona Eliya hajashuka kutoka mbinguni??, Yesu akawajibu Yohana mbatizaji ndiye Eliya na mwenye masikio asikiye!!., hivyo sasa imani potofu ya watakatifu kupaa mbinguni kidhahiri ilianza kitambo sana ila tu watu wanashindwa kujua ni nini maana ya mtu kupaa mbinguni katika lugha ya kiroho, kupaa mbinguni maana yake ni kusalimika kwa uwezo wa mbinguni (uwezo wa Mungu) kutokana na shida, karaha, mateso nk, abayopata mtu, kama tujuavyo Yesu alipata Mateso makubwa chini ya mafarisayo nk, hivyo alinusurika na kuhamia nchi nyingine akiwa yeye na mama yake na Mariam Magdalene mkewe. Bi Mariam Mama Yesu alifariki wakiwa njiani na alizikwa chini ya foot of Mt Muree in Pakistan (Mary's mountains, named so after her)

Walihamia Kashmir na huko aliendelea kuhubiri injili kwa Wana wa Israeli waliopo huko na akazikwa huko na kaburi lake lipo huko Kashmir, Shrinagar, mtaa wa Khanyar, Watalii kibao huenda kuzuru hilo kaburi lililo maarufu sana huko Kashmir, Kwa habari pana ingia Youtube orGoogle Rozabal shrine.

Nimeamua kueleza kwa ufupi jambo hilo kuonyesha jinsi watu wanavyopotoka kwa kusoma na kuelewa maandiko ya kiroho "literally".

"Kushuka" (kuja) tena kwa Yesu duniani nako kuna maana yake Kiroho, sitaweza kueleza kwani ni habari ndefu sana.
 
Mokaze hebu njoo huku tujadiliane kwa mapana, hizi tafsiri mpya ulizonipa zina hoja lakini ni hoja ngeni machoni mwangu na kwa wengi pia

Mkuu Mshana Jr , nimesoma huo uzi uliouanzisha mwaka 2017, miaka miwili kabla sijajiunga jf.

Kwanza nitakuja kueleza kile ninachojua kuhusu Adam na kuhusu Nyoka kwa muktadha wa dini na vipi Mtu aitwe Nyoka.
 
Kuna ndege wanaitwa cuckoo sifa yao kubwa ni kuvamia viota vya ndege wengine, pengine hii sifa na wewe ndiyo unaijua. Wasumbufu, wakorofi n wana ubabe hivi.

Tabia nyingine ya cuckoo ni kutopenda kulea mayai yao na vifaranga vyao. Now logic itakufanya ujiulize kama hawalei ni nani wanalea? Jibu ni simple, ndege wengine hua wanalea mayai ya cuckoo.

You see cuckoos hutafuta kiota ambacho tayari kina mayai kisha cuckoo jike huenda kutaga hapo na kuyeya. Ndege mwenye kiota ataatamia mayai, atalisha vifaranga kisha siku ikifika atashangaa kuna kibaba kipo hapo hakielewi na amekilisha tangu kichanga, by that time katakua kanaweza kupaa so katajiondokea.

Now siyo kila ndege ni wajinga au siyo? Wengine wataangalia na kugundua hichi siyo kifaranga changu so ataanza kukatenga kwa kutokapa chakula ambapo cuckoos huteua genge la ndege kadhaa ambao humtembelea yule mama ndege aliyegoma kulisha kifaranga cha cuckoo na kumshushia kipigo.

Mostly baada ya hapo huyu kifaranga hulishwa vyema kabisa mpaka anakua na kuondoka zake.
Kuna kipindi cha wanyama nilikiona NAT GEO cha DSTV kuna Ndege nilimuona tabia yake ilinishangaza yeye hutaga juu ya miamba akishatotoa mayai huanza kuwaudumia watoto kama kawaida ila wakishaota manyoya kidogo huondoka na kuwaacha na kutokurudi tena sasa kwa hali kama hyo watoto uanza kudonoana wenyewe kwa wenyewe akionekana mmoja ndio dhaifu basi huyo ndio anakuwa chakula,hal hii uendelea hadi mwisho wa siku anabaki mmoja yule aliye na nguvu,na kitu.kingine nikaona wanapokuwa na njaa wale watoto hujaribu kutoka kutafuta chakula wanapojaribu kuruka kutoka juu ya miamba akifanikiwa kuruka vizur ndio nitolee arudi tena akifeli kuruka vizur ndio anakufa kwa kudondoka vibaya chini ya miamba,maisha ya wale ndege yalinishangaza sana.
 
Mkuu Mshana Jr , nimesoma huo uzi uliouanzisha mwaka 2017, miaka miwili kabla sijajiunga jf.

Kwanza nitakuja kueleza kile ninachojua kuhusu Adam na kuhusu Nyoka kwa muktadha wa dini na vipi Mtu aitwe Nyoka.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] nahitaji kusikia kitu tofauti na haya mazoea yetu..nataka mwisho wa siku nipate dhana dhanifu yenye mashaka kidogo zaidi
 
SIMBA 1 -WAARABU 0
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
lion-cub-enjoying-spoils-s-face-full-blood-eating-good-meal-meal-was-cape-buffalo-which-rest-p...jpg
 
maxresdefault-2.jpg
Baada ya kuangalia sana documentary za wanyama nikagundua mambo kadhaa
Kuna familia kamili za wanyama
Kuna koo
Kuna viongozi wa familia au kundi
Uwindanji ni mgumu na kuna wakati mawindo hugoma hata zaidi ya siku 5
Kuna baadhi ya wanyama majike ndio wawindaji na watunza familia
Kuna kuibiana mawindo/ Vyakula
 
Siyo kila mara nyoka akikung'ata atakuachia sumu. Huweza kukung'ata na asikuachie sumu kwakua anajua wewe siyo chakula chake hivyo hawezi kupoteza sumu yake wakati ataihitaji katika kuwinda.

Kitendo cha kung'ata bila kutoa sumu huitwa 'Dry bite' takwimu zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa wa mwanamke kudanganya kafika kileleni kuliko nyoka kukung'ata na kukuachia sumu.
Hapo kwa mwanamke sasa ni mada mpya tena...anzishia uzi wake maana si ndogo namna hiyo....ushatujaza presha tayali tusije vuruga huu uzi wa wanyama [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sumu ya nyoka huitwa venom na siyo poison. Venom ni sumu ambayo ili ifanye kazi inatakiwa iingie kwenye mishipa ya damu wakati poison ufanyaje wake kazi huweza sababishwa na hata kuigusa tu au kuimeza.

Kutokana na hilo inawezekana ukanywa sumu ya nyoka na usife kwakua ikifika tumboni itameng'enywa kama vyakula vingine tu.
Sumu ya nyoka huitwa venom na siyo poison. Venom ni sumu ambayo ili ifanye kazi inatakiwa iingie kwenye mishipa ya damu wakati poison ufanyaje wake kazi huweza sababishwa na hata kuigusa tu au kuimeza.[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mshana...please mpatie ulinzi Castr

Anatoa kombinenga ya hatari kwy uzi huu kama Kapombe na Chama vile...[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38]nimegundua JF tuna vichwa vimejaa maarifa ...ni namna tu ya kushare na wengine ama "kuyatumia kivingine"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom