Mada ya wanyama

Mada ya wanyama

Nyoka mwenye sumu kali duniani yupo Australia. Anaitwa Inland Taipan ndugu yake wa karibu ni Coastal Taipan wana death toll kubwa kwakua hakuna antivenom bado.

Hata hivyo ukiwa Australia hao siyo wanyama pekee wa kuwahofia. Utatakiwa uwahofie Stone fish, Box Jellyfish ambao wana sumu kali isiyo na tiba kokote. Kangaroo inabidi uwakimbie achana na muvi adult kangaroo is deadly, na Great White Shark hawa papa hukua mpaka kufikia futi 25.

Hata hivyo chakula cha papa kikuu ni seal, papa hawindi binadamu actively. Ikatokea papa amekutana na binadamu hufanya ile kumzunguka zunguka kujaribu kung'amua hiki ni kiumbe gani. Akiona haelewi anang'ata kisha anagundua huyu siyo seal anaachana na wewe. Ndiyo maana wanaokufa kwa ajili ya papa hua ni majeraha yanayotokana na kung'atwa vital organs.

That aside I wish niseme nothing can stop Great White Shark ila hapana hawa papa huuawa na Orcinus Orca au Killer Whale. Wote tunajua whales hawali nyama hivyo kuwaua papa hawa itakua wanachukulia mchezo anyway, these whales have learn't kwamba papa wanahitaji kua in a movement muda wote so wanachaofanya ni kumvizia papa wanamtokea kwa chini kisha wanakua kama wanamnyanyua hivyo kuzuia movement.
Mbona inasemekana white great shark ni msafisha bahati kwamba chochote akionacho baharini ye twende, hata mifuko au plastics zinazodondoshwa kwenye meli ye hutafuna tafuna na kuvikatakata.
Inakuwaje kwa hawa white shark wanaopatikana ukanda wa bahari ya Hindi tokea South Africa wanapandisha juu mpaka Afrika mashariki na hakuna seals huku kwetu wanafuata nini?
 
Bible inasema nyoka alikuwa ni mnyama mwenye kujihadhari/ mwenye akili kuliko wote. Bila shaka huyu ndiyo anafuatia kwa binadamu. Pia inaonekana zamani nyoka walikuwa wanaongea. Kama wangekuwa hawaongei bila shaka Hawa angestaajabu lakini inaonekana walikuwa wanapiga story kwa kawaida. Hutoki tu siku hiyohiyo na kuanza kumdanganya mtu. Pia shetani alichagua kumtumia nyoka sababu alijua ni muelewa.
Swali ni kuwa uwezo wa nyoka kuongea na akili zake zimeenda wapi? Inawezekana nyoka huwa wanatuchora tu ila wanatusikia na wanatuelewa.
Alipopokonywa miguu alipokonywa na vingine
 
tulikuwa tunaamini zamai kwamba mbuni akifkuzwa na mnyama ili awe kitoweo basi huzamisha kichwa chake ardhini akijua amejifiiichaaa...
ila ukweli ni huwa anaangalia mayai yake kama yameanza kutotoa na kuyageuza geuza yazidi kupata joto.
huyo ni mbuni dume pichani.
 
Attachments

  • 2674034_1611440814488.jpeg
    2674034_1611440814488.jpeg
    25.8 KB · Views: 68
tulikuwa tunaamini zamai kwamba mbuni akifkuzwa na mnyama ili awe kitoweo basi huzamisha kichwa chake ardhini akijua amejifiiichaaa...
ila ukweli ni huwa anaangalia mayai yake kama yameanza kutotoa na kuyageuza geuza yazidi kupata joto.
huyo ni mbuni dume pichani.
Ila mbuni dume hatagi lakini
 
Nyoka mwenye sumu kali duniani yupo Australia. Anaitwa Inland Taipan ndugu yake wa karibu ni Coastal Taipan wana death toll kubwa kwakua hakuna antivenom bado.

Hata hivyo ukiwa Australia hao siyo wanyama pekee wa kuwahofia. Utatakiwa uwahofie Stone fish, Box Jellyfish ambao wana sumu kali isiyo na tiba kokote. Kangaroo inabidi uwakimbie achana na muvi adult kangaroo is deadly, na Great White Shark hawa papa hukua mpaka kufikia futi 25.

Hata hivyo chakula cha papa kikuu ni seal, papa hawindi binadamu actively. Ikatokea papa amekutana na binadamu hufanya ile kumzunguka zunguka kujaribu kung'amua hiki ni kiumbe gani. Akiona haelewi anang'ata kisha anagundua huyu siyo seal anaachana na wewe. Ndiyo maana wanaokufa kwa ajili ya papa hua ni majeraha yanayotokana na kung'atwa vital organs.

That aside I wish niseme nothing can stop Great White Shark ila hapana hawa papa huuawa na Orcinus Orca au Killer Whale. Wote tunajua whales hawali nyama hivyo kuwaua papa hawa itakua wanachukulia mchezo anyway, these whales have learn't kwamba papa wanahitaji kua in a movement muda wote so wanachaofanya ni kumvizia papa wanamtokea kwa chini kisha wanakua kama wanamnyanyua hivyo kuzuia movement.
Seal ndiyo yule chui wa baharini?
 
Simba anahusudu ngono. Jike akijifungua hutakiwa kulea watoto hivyo hawezi kushirikitendo kwa kipindi hicho. Simba dume akiona hivyo anachofanya ni kuua wale watoto ili mama awe free na yeye aendelee kupiga mambo yake.

Mnyama mwingine mpenda ngono ni dolphin, dolphin wao hubaka na ubakaji wao hauishii kwa dolphins wenzao wanabaka kila wanachoweza kukibaka. Kwenye documentary moja dolphin wawili walimbaka seal mmoja mpaka seal akafa.

Na hao dolphins waliendelea na ubakaji saa 2 baada ya yule Seal kufa.
Duh
 
hatagi ila yupo bega kwa bega na mke wake katika majukumu ikiwemo kulea vifaranga,kuwalinda na adui na kuwafundisha tabia njema
Ooh kumbe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kuna ndege wanaitwa cuckoo sifa yao kubwa ni kuvamia viota vya ndege wengine, pengine hii sifa na wewe ndiyo unaijua. Wasumbufu, wakorofi n wana ubabe hivi.

Tabia nyingine ya cuckoo ni kutopenda kulea mayai yao na vifaranga vyao. Now logic itakufanya ujiulize kama hawalei ni nani wanalea? Jibu ni simple, ndege wengine hua wanalea mayai ya cuckoo.

You see cuckoos hutafuta kiota ambacho tayari kina mayai kisha cuckoo jike huenda kutaga hapo na kuyeya. Ndege mwenye kiota ataatamia mayai, atalisha vifaranga kisha siku ikifika atashangaa kuna kibaba kipo hapo hakielewi na amekilisha tangu kichanga, by that time katakua kanaweza kupaa so katajiondokea.

Now siyo kila ndege ni wajinga au siyo? Wengine wataangalia na kugundua hichi siyo kifaranga changu so ataanza kukatenga kwa kutokapa chakula ambapo cuckoos huteua genge la ndege kadhaa ambao humtembelea yule mama ndege aliyegoma kulisha kifaranga cha cuckoo na kumshushia kipigo.

Mostly baada ya hapo huyu kifaranga hulishwa vyema kabisa mpaka anakua na kuondoka zake.
 
Kuna binadamu wana tabia kama za huyu ndege...sasa sijui nani kaiga kwa mwenzake
BTW Castr hii mada umeitendea haki sana...nimejifunza na kuelimika mengi..big up sana[emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Back
Top Bottom