Mada ya wanyama

Mada ya wanyama

Kuna nyoka anaitwa 'Boomslang snake' ni mdogo na meno yake ni mafupi kiasi kwamba anaweza akakung'ata na akashindwa kukuachia sumu. Kutokana na hili wanasayansi walikua wakibishana ikiwa Boomslang ni venomous au non venomous.

Dr. Schmidt akaamua kufanya jaribio kwa kuruhusu ang'atwe na Boomslang na kuanza kurekodi mabadiliko ya kimwili yanayotokea tangu kung'atwa kwake. Sumu ya nyoka utendaji kazi wake hutegemea afya ya mtu, dozi aliyoitoa nyoka na vitu kama hivyo. Ila Boomslang anaweza kukung'ata leo ukafa wiki ijayo.

Dr. Schmidt aling'atwa jioni, jioni hiyo hakuona mabadiliko necessary. Kesho alivyoamka akala, akaandika alichokula kwenye notebook, kisha akaanza kuandika mabadiliko ya mwili yanayomkumba. Alivyofika ofisini hali ikawa mbaya kidogo msaidizi akamuambia ampe anti venom akagoma.

Akasema ataharibu experiment hivyo akaendelea kunote symptoms . Alivyofikia stage ya kutapika breakfast akamuambia msaidizi muda wa anti venom ndo huo ila ilikua too late. Dr. Schmidt akafariki.
 
Achana na stori nyoka kwenye mchanga anapita vizuri tu kuna wanaodai eti kwenye mchanga anajichubua siyo kweli, ndiyo maana ana scales. Ukimuona nyoka kwenye mchanga kachill usifikiri hawezi kwenda probably ni anaota jua so achana naye tu.

Nyoka huweza kutema sumu hata akikatwa kichwa. Nyoka anaongozwa na ule ulimi wake, unaitwa jacobson, anavyoutoa na kuurudisha ndani anakua anachukua taarifa nje na anazipeleka ndani ili zitafsiriwe. Pia sumu ya nyoka hua katika tezi za pembeni ya mdomo wake.

Ukimkata kichwa unakua umemtoa mwili ila jacobson na tezi za sumu zinakua bado zipo. Some couple learned this the hard way baada ya bwana mkubwa kutaka kukinyanyua kichwa cha nyoka baada ya kukitenganisha na kiwiliwili. What followed ni kile kichwa cha nyoka kujiflip na kumng'ata jamaa.

Ila alipona.
 
Nyoka mwenye sumu kali duniani yupo Australia. Anaitwa Inland Taipan ndugu yake wa karibu ni Coastal Taipan wana death toll kubwa kwakua hakuna antivenom bado.

Hata hivyo ukiwa Australia hao siyo wanyama pekee wa kuwahofia. Utatakiwa uwahofie Stone fish, Box Jellyfish ambao wana sumu kali isiyo na tiba kokote. Kangaroo inabidi uwakimbie achana na muvi adult kangaroo is deadly, na Great White Shark hawa papa hukua mpaka kufikia futi 25.

Hata hivyo chakula cha papa kikuu ni seal, papa hawindi binadamu actively. Ikatokea papa amekutana na binadamu hufanya ile kumzunguka zunguka kujaribu kung'amua hiki ni kiumbe gani. Akiona haelewi anang'ata kisha anagundua huyu siyo seal anaachana na wewe. Ndiyo maana wanaokufa kwa ajili ya papa hua ni majeraha yanayotokana na kung'atwa vital organs.

That aside I wish niseme nothing can stop Great White Shark ila hapana hawa papa huuawa na Orcinus Orca au Killer Whale. Wote tunajua whales hawali papa hivyo kuwaua papa hawa itakua wanachukulia mchezo anyway, these whales have learn't kwamba papa wanahitaji kua in a movement muda wote so wanachaofanya ni kumvizia papa wanamtokea kwa chini kisha wanakua kama wanamnyanyua hivyo kuzuia movement.
 
Sumu ya nyoka huitwa venom na siyo poison. Venom ni sumu ambayo ili ifanye kazi inatakiwa iingie kwenye mishipa ya damu wakati poison ufanyaje wake kazi huweza sababishwa na hata kuigusa tu au kuimeza.

Kutokana na hilo inawezekana ukanywa sumu ya nyoka na usife kwakua ikifika tumboni itameng'enywa kama vyakula vingine tu.
 
Kuna mamba mkubwa ambaye amepachikwa jina la Gustave, anazunguka Mto Ruzizi na anafika mpaka ziwa Victoria. Anazunguka Rwanda, Burundi na Tanzania akitafuna binadamu na wanyama.

Ana ukubwa wa zaidi ya futi 18, ana nguvu na ngozi yake ni ngumu kiasi kwamba jeshi lilipomtega na kumpiga risasi hazikufua dafu. Cage ya chuma waliyoiandaa aliiharibu haribu. Ameua watu zaidi ya 100 na hakuna exact figure kwakua watu wengine hupotea huku hawana ndugu na kipindi wanaanza kupotea haikudhaniwa kua ni kazi ya Gustave.

Kuna muvi inaitwa Primeval kaigiza Lincolin Burrows imemzungumzia huyu mamba na ikajaribu kuonyesha kilichotokea hiyo siku aliyotegwa. Hata hivyo habari zake zimefifia kiasi kwamba inaaminika Gustave atakua amefariki ila kwakua mwili haujapatikana hiyo inabaki kua ni assumption.
 
Simba anahusudu ngono. Jike akijifungua hutakiwa kulea watoto hivyo hawezi kushirikitendo kwa kipindi hicho. Simba dume akiona hivyo anachofanya ni kuua wale watoto ili mama awe free na yeye aendelee kupiga mambo yake.

Mnyama mwingine mpenda ngono ni dolphin, dolphin wao hubaka na ubakaji wao hauishii kwa dolphins wenzao wanabaka kila wanachoweza kukibaka. Kwenye documentary moja dolphin wawili walimbaka seal mmoja mpaka seal akafa.

Na hao dolphins waliendelea na ubakaji saa 2 baada ya yule Seal kufa.
 
Siyo kila mara nyoka akikung'ata atakuachia sumu. Huweza kukung'ata na asikuachie sumu kwakua anajua wewe siyo chakula chake hivyo hawezi kupoteza sumu yake wakati ataihitaji katika kuwinda.

Kitendo cha kung'ata bila kutoa sumu huitwa 'Dry bite' takwimu zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa wa mwanamke kudanganya kafika kileleni kuliko nyoka kukung'ata na kukuachia sumu.
takwimu zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa wa mwanamke kudanganya kafika kileleni kuliko nyoka kukung'ata na kukuachia sumu.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Sumu ya nyoka huitwa venom na siyo poison. Venom ni sumu ambayo ili ifanye kazi inatakiwa iingie kwenye mishipa ya damu wakati poison ufanyaje wake kazi huweza sababishwa na hata kuigusa tu au kuimeza.

Kutokana na hilo inawezekana ukanywa sumu ya nyoka na usife kwakua ikifika tumboni itameng'enywa kama vyakula vingine tu.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Simba anahusudu ngono. Jike akijifungua hutakiwa kulea watoto hivyo hawezi kushirikitendo kwa kipindi hicho. Simba dume akiona hivyo anachofanya ni kuua wale watoto ili mama awe free na yeye aendelee kupiga mambo yake.

Mnyama mwingine mpenda ngono ni dolphin, dolphin wao hubaka na ubakaji wao hauishii kwa dolphins wenzao wanabaka kila wanachoweza kukibaka. Kwenye documentary moja dolphin wawili walimbaka seal mmoja mpaka seal akafa.

Na hao dolphins waliendelea na ubakaji saa 2 baada ya yule Seal kufa.
Na hao dolphins waliendelea na ubakaji saa 2 baada ya yule Seal kufa.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
giphy.gif
 
Bible inasema nyoka alikuwa ni mnyama mwenye kujihadhari/ mwenye akili kuliko wote. Bila shaka huyu ndiyo anafuatia kwa binadamu. Pia inaonekana zamani nyoka walikuwa wanaongea. Kama wangekuwa hawaongei bila shaka Hawa angestaajabu lakini inaonekana walikuwa wanapiga story kwa kawaida. Hutoki tu siku hiyohiyo na kuanza kumdanganya mtu. Pia shetani alichagua kumtumia nyoka sababu alijua ni muelewa.
Swali ni kuwa uwezo wa nyoka kuongea na akili zake zimeenda wapi? Inawezekana nyoka huwa wanatuchora tu ila wanatusikia na wanatuelewa.
 
KUNA DHANA MIONGONI MWA WATU WANASEMA KUA :Nyoka hana uadui na mwanadamu,ila mwanadamu ndiye mwenye uadui na nyoka,kama hujamuona nyoka anaweza kuja hadi kwenye miguu yako ila ukimuona tu hata kama hutakimbia yeye lazima akimbia au atakugonga,kwamba ukimuona mwili wako unatoa kiashiria kwa nyoka kua wewe ni adui..

Hii imekaaje
 
Nyoka mwenye sumu kali duniani yupo Australia. Anaitwa Inland Taipan ndugu yake wa karibu ni Coastal Taipan wana death toll kubwa kwakua hakuna antivenom bado.

Hata hivyo ukiwa Australia hao siyo wanyama pekee wa kuwahofia. Utatakiwa uwahofie Stone fish, Box Jellyfish ambao wana sumu kali isiyo na tiba kokote. Kangaroo inabidi uwakimbie achana na muvi adult kangaroo is deadly, na Great White Shark hawa papa hukua mpaka kufikia futi 25.

Hata hivyo chakula cha papa kikuu ni seal, papa hawindi binadamu actively. Ikatokea papa amekutana na binadamu hufanya ile kumzunguka zunguka kujaribu kung'amua hiki ni kiumbe gani. Akiona haelewi anang'ata kisha anagundua huyu siyo seal anaachana na wewe. Ndiyo maana wanaokufa kwa ajili ya papa hua ni majeraha yanayotokana na kung'atwa vital organs.

That aside I wish niseme nothing can stop Great White Shark ila hapana hawa papa huuawa na Orcinus Orca au Killer Whale. Wote tunajua whales hawali nyama hivyo kuwaua papa hawa itakua wanachukulia mchezo anyway, these whales have learn't kwamba papa wanahitaji kua in a movement muda wote so wanachaofanya ni kumvizia papa wanamtokea kwa chini kisha wanakua kama wanamnyanyua hivyo kuzuia movement.
Hao Orcas ni noma. Wanakurusha kama mpira hadi unavuta. Wanakuww kama wanapasiana mpira kwa kichwa.
 
Back
Top Bottom