Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Kuna nyoka anaitwa 'Boomslang snake' ni mdogo na meno yake ni mafupi kiasi kwamba anaweza akakung'ata na akashindwa kukuachia sumu. Kutokana na hili wanasayansi walikua wakibishana ikiwa Boomslang ni venomous au non venomous.
Dr. Schmidt akaamua kufanya jaribio kwa kuruhusu ang'atwe na Boomslang na kuanza kurekodi mabadiliko ya kimwili yanayotokea tangu kung'atwa kwake. Sumu ya nyoka utendaji kazi wake hutegemea afya ya mtu, dozi aliyoitoa nyoka na vitu kama hivyo. Ila Boomslang anaweza kukung'ata leo ukafa wiki ijayo.
Dr. Schmidt aling'atwa jioni, jioni hiyo hakuona mabadiliko necessary. Kesho alivyoamka akala, akaandika alichokula kwenye notebook, kisha akaanza kuandika mabadiliko ya mwili yanayomkumba. Alivyofika ofisini hali ikawa mbaya kidogo msaidizi akamuambia ampe anti venom akagoma.
Akasema ataharibu experiment hivyo akaendelea kunote symptoms . Alivyofikia stage ya kutapika breakfast akamuambia msaidizi muda wa anti venom ndo huo ila ilikua too late. Dr. Schmidt akafariki.