Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa nchi nyingine nguruwe ni pet.
Weeeeeh!Siyo kila mara nyoka akikung'ata atakuachia sumu. Huweza kukung'ata na asikuachie sumu kwakua anajua wewe siyo chakula chake hivyo hawezi kupoteza sumu yake wakati ataihitaji katika kuwinda.
Kitendo cha kung'ata bila kutoa sumu huitwa 'Dry bite' takwimu zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa wa mwanamke kudanganya kafika kileleni kuliko nyoka kukung'ata na kukuachia sumu.