Maneno ya Mungu yanasema .. Mwenye nacho huongezewaWamempa gari mtu alisiyehitaji gari, yaani hata mwanae Rais wa Znz angeweza mmnunulia gari , ila wake wazee walikuwa wanahitaji wamepewe hata elfu 30 tu kwa mwezi wametoswa
Itifaki imezingatiwaTofauti ni moja wale ni wananchi wa kawaida walioenda kumsikiliza rais... Na yule ni rais mstaafu mwenye mtoto rais, aliyeenda kuzindua kitabu cha maisha yake
Kila mmoja hapo anakula kwa urefu wa kamba yake..
Endeleeni kumsifu mama yenu kwa nyimbo na tenzi za rohoni, lakini nawaambieni muda utasema.Wamempa gari mtu alisiyehitaji gari, yaani hata mwanae Rais wa Znz angeweza mmnunulia gari , ila wake wazee walikuwa wanahitaji wamepewe hata elfu 30 tu kwa mwezi wametoswa
Na hata ukiwa inategemea umeota sehemu ganiUkiwa maskini ni hasara sana hapa dunian heri uwe mti unaweza toa hata oxygen
Hahahahaah mzee Mshana basi usiendeleeNa hata ukiwa inategemea umeota sehemu gani
Kuna tofauti kati ya one off payment na standing order.
Wakati wa uzinduzi wa kitabu cha maisha ya mstaafu mzee Ally Hassan Mwinyi mambo mengi yamesemwa na hata baadaye kuonekana issue hii kuibukia kwa Simba na Yanga.
Twende kwenye hoja.
Wazee wa Dar waliofika kumsikiliza mama kama walikuwa 1000 basi kwa bei ya gari linalotakiwa anunuliwe mstaafu Rais Mwinyi kila mzee angeweza kurudi na tshs 250,000 nyumbani lakini akasema hana hata elfu 30!.
Mfano angalia prices ya hii benz
Twende na hesabu : Tshs 450,000,000/= zingetosha kuwalipa wazee 1000 pensheni ya Tshs 30,000/ = kwa miezi 15 tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaah mzee Mshana basi usiendelee
Hebu mtajeMnasemaje kwa yule jamaa aliekuwa akigawa fedha kwa wananchi wanyonge..?
Bora huyu alikua anagawia masikini wenye uhitaji. Hilo benzi Mwingi ataendesha anaenda wapi?Mnasemaje kwa yule jamaa aliekuwa akigawa fedha kwa wananchi wanyonge..?
Kwani pale alifika kwa kutambaa. Benz atalitumia kwa safari kama ile ambayo alikuwa anatumia gari za juu zinazomchisha kwa umri wake. Mbona Magufuli alimpa nyumba mpya, kwani hakuwa na nyumba.Bora huyu alikua anagawia masikini wenye uhitaji. Hilo benzi Mwingi ataendesha anaenda wapi?
Nimemsifu lini?!Endeleeni kumsifu mama yenu kwa nyimbo na tenzi za rohoni, lakini nawaambieni muda utasema.
Kwani pale alifika kwa kutambaa. Benz atalitumia kwa safari kama ile ambayo alikuwa anatumia gari za juu zinazomchisha kwa umri wake. Mbona Magufuli alimpa nyumba mpya, kwani hakuwa na nyumba.