Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika ukiwa maskini nitatizo.Ukiwa maskini ni hasara sana hapa dunian heri uwe mti unaweza toa hata oxygen
Nadhani bora yule jamaa na bilashaka amepata malipo kwa kufikiri kuhusu wanyonge.Mnasemaje kwa yule jamaa aliekuwa akigawa fedha kwa wananchi wanyonge..?
Mapato anayopata kutoka serikalini, mabiashara yake plus kijana wake rais au wale wabunge unadhani wangeshindwa kumpa baba yao zawadi ya siku ya kuzaliwa?.Nadhani Mama aliongea sababu ya kumpa gari ndogo, Huyu mzee ana miaka 96 na amekuwa anaitwa katika shughuli mbalimbali za kiserikali kama Rais mstaafu, kasema tunamuona shida anayopata wakati wa kupanda gari na kushuka tunampa gari ndogo asipate tabu huyu ni mtu mzima 96 years old na mtu aliyewahi kushika nafasi kubwa katika nchi hii. Jamani hata mzee wetu tunamsakama utasema kapewa Boeng gari zenyewe zilikuwa zawadi tu toka Morocco.
Sheria ya Mafao ya Viongozi wa Umma ya mwaka 1999, ambayo ilirekebishwa mwaka 2005, inaeleza kuwa Rais Mstaafu anapomaliza kipindi chake cha uongozi, hupata mafao ya mkupuo.Mapato anayopata kutoka serikalini, mabiashara yake plus kijana wake rais au wale wabunge unadhani wangeshindwa kumpa baba yao zawadi ya siku ya kuzaliwa?.
Although walijua hilo but hata wangeshindwa kulinunua hilo benz landa kwa sababu ya kodi, wangeiomba serikali iwape msamaha wa kodi na likaoita bure.
Hapo wangefanya wao pasi sisi kujua bali tungeona kwenye medias...
"FAMILIA YA MZEE RUKSA WAMPA BABA YAO ZAWADI YA BENZ"
Ndani ya story ndo tungekutana na sababu kama; lile GX 8 alikuwa hawezi kushuka, mara sijui ni kubwa sana au linakimbia sana na linakula sana mafuta🙁!.
magu si alimpa nyumba pia yenye gharama ya mamilioni mengi tu.Hakugawia wenye nazo tena ukijumlisha alizogawa zote tangu awe rais hata robo ya hii bado maana alikuwa anagawa 5,7 au 10 million tena kwa kuchangisha na wengine wakenya wakiita harambee
Mikumi tena .Umri wenyewe ushaenda, Benz la nini , huyu mama anajifanya mother Theresa , kitamkuta kitu
Enz za magu Tz ilikua inaheshimika sana duniani, sasa hiv tumerud kuwa mazuzu, hapa raisi hatuna, miaka yake iishe tupige kura
Usishtuke mama kasema yeye na magu nikitu kimoja.Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo mwenyewe. Akamambia msaidizi wake apokee. Zawadi ya Benz kwa Mzee wetu ikanishtua kidogo.
Issa Shivji on tweeter
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyumba walizopewa ndio ilikuwa njia kupiga hatuaInasikitisha Sana, halafu kuna mijitu inakuja na nyimbo na vigelegele vya kusifu upuuzi. Tulikuwa tunaanza kupiga hatua sasa hivi twarejea tulipotoka, business as usual.
Inatakiwa ifike Mahala Mungu abadili Maneno yake..Maneno ya Mungu yanasema .. Mwenye nacho huongezewa
wazee wako wengi na maskini wa kutupwa shida lukuki wanazo ukilinganisha na hiyo shida ya kushuka kwenye V8.Nadhani Mama aliongea sababu ya kumpa gari ndogo, Huyu mzee ana miaka 96 na amekuwa anaitwa katika shughuli mbalimbali za kiserikali kama Rais mstaafu, kasema tunamuona shida anayopata wakati wa kupanda gari na kushuka tunampa gari ndogo asipate tabu huyu ni mtu mzima 96 years old na mtu aliyewahi kushika nafasi kubwa katika nchi hii. Jamani hata mzee wetu tunamsakama utasema kapewa Boeng gari zenyewe zilikuwa zawadi tu toka Morocco.
soma hii tena:wazee wako wengi na maskini wa kutupwa shida lukuki wanazo ukilinganisha na hiyo shida ya kushuka kwenye V8.
Hoja ya wazee wengi haina mashiko hapa watoto zao ni wajibu wao kuwatunza wazee wao hata wewe unaweza kumpa mzee wako benzi haina maana sababu kuna wazee wengi wanashida basi usimpe mzee wako. Huyu ni alikuwa kiongozi wa Taifa na kuna haki zake ukichukia benzi basi kila miaka 5 anabadilishiwa gari kisheria sio msaada.wazee wako wengi na maskini wa kutupwa shida lukuki wanazo ukilinganisha na hiyo shida ya kushuka kwenye V8.
Kumbuka ananyumba yake miaka mingi tu lakini JPM bado akampa nyumba kwa mujibu wa sheria zetu mbona hamkusema wakati wa JPM anampa nyumba. kwani hakuna wazee hata nyumba hawana? JPM kampa kwa mujibu wa sheria zetu watu wote wakati wa JPM waliufyata kimyaa ila kumuona Mama anaongea kistarabu basi imekuwa nongwa.wazee wako wengi na maskini wa kutupwa shida lukuki wanazo ukilinganisha na hiyo shida ya kushuka kwenye V8.
Wote wamefanya makosa tu,aliyetoa Nyumba na aliyetoa Gari.Kumbuka ananyumba yake miaka mingi tu lakini JPM bado akampa nyumba kwa mujibu wa sheria zetu mbona hamkusema wakati wa JPM anampa nyumba. kwani hakuna wazee hata nyumba hawana? JPM kampa kwa mujibu wa sheria zetu watu wote wakati wa JPM waliufyata kimyaa ila kumuona Mama anaongea kistarabu basi imekuwa nongwa.
basi kuna walakini kwa waliokua wanatunga hizo sheria .walikuwa walafi kupindukia zote hizo ni kodi za wanainchHoja ya wazee wengi haina mashiko hapa watoto zao ni wajibu wao kuwatunza wazee wao hata wewe unaweza kumpa mzee wako benzi haina maana sababu kuna wazee wengi wanashida basi usimpe mzee wako. Huyu ni alikuwa kiongozi wa Taifa na kuna haki zake ukichukia benzi basi kila miaka 5 anabadilishiwa gari kisheria sio msaada.
Jamani nimepost hapa JPM hajatoa tu ni kwa mujibu wa sheria zetu hata gari ni sheria tena sio moja mbili nitapost tena someni jamani, kama sheria mbaya hilo suala jingine.Wote wamefanya makosa tu,aliyetoa Nyumba na aliyetoa Gari.
Nilipinga kipindi Magu ametoa nyumba kwa huyo mzee na ninapinga sasa suala la kuzawadiwa gari.
Hakuna mwenye afadhali hapo.