Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Sina hakika sana
Kuna mama wa rafiki yangu aliambiwa na mama yake kinaga ubaga kwamba kabla hajaoa....."Siku ukipata mchumba Uje nikukague, wewe bado hujui mambo mengi, msije kuwa mnazaa watoto mnazika kila mara" ...maneno hayo aliyaongea kwa msisitizo baada ya huyo jamaa kuonekana kupuuza Imani ile, lakini pia kukaguliwa na mama mtu mzima! Hii inaonyesha Imani hiyo ipo na maeneo mengine imekwenda mpaka kwa wanaume, sio wanawake pekee.
 
Mkuu nilivyo ielewa mada ya Mshana ni kwamba anaekuwa na kinyama hicho anaandamwa na mikosi, lakini pia hata partiner wake anajikuta ktk mikosi hiyo hiyo. Imani inakwenda mbali zaidi kwa wengine kwamba hata wakifanikiwa kupata watoto wanakufa vifo visivyoeleweka. Lakini mwenye hicho kinyama yeye anakuwa hajui kama sababu ya mikosi na balaa ni hicho kinyama.
 
Mimi niliwahi kukiona

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mshana anasema sio bawasiri, ni kimkia, sasa kama kinawatokea wanawake nina hakika na wanaume kinawatokea. Ila humu hawatosema kama wanavyo, wanasema tu wanawake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…