Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Hicho kinyama iinakuwa wapi?Mshana anasema sio bawasiri, ni kimkia, sasa kama kinawatokea wanawake nina hakika na wanaume kinawatokea. Ila humu hawatosema kama wanavyo, wanasema tu wanawake.
Anajua mshana aliekiona, mie hata sijamuelewa.Hicho kinyama iinakuwa wapi?
Sehemu ya hajakubwa.Hicho kinyama iinakuwa wapi?
Naomba uniunganishe nae nimfanyie utafiti mkuu...Aisee kuna mdada anako hako kamkia chini kidogo ya kiuno karibia na ule mfereji wa suez/panama.matatizo uliyoyaelezea ya kukosa furaha na nuksi yanalandana kabisa na situasheni aliyokuwa nayo yule dada,mie mwenyewe nlitemana naye ndani ya muda mfupi japo alikuwa mzuri sana
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.
NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Naamini katika mila zetu na hata dada yangu yalimtokea n kikakatwa.....Si kweli eti ukiwa na hicho kinyama watoto wanakufa mara sijui mahusiano hayadumu,,mtu anaweza kuwa hana hicho kinyama na mahusiano yasidumu vile vile
Pale pakunyeaHicho kinyama iinakuwa wapi?
Hahaha wapo watu wa kuwamwagia povu, kwani unafkiri wanawake hawajui?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja wakujie na tank la povu
Mwanaume hawezi kuwa na mkia wa nyuma, sisi tumezaliwa na mikia yetu ya asili iliyopo mbele na kwa jina huitwa mijegejo....unaijua?Hilo ni tatizo, kwahiyo sidhani kama kuna mtu anapenda apatwe na tatizo!! Lakini nimeona ameongelea upande wa wanawake tu nikataka kujua je ikitokea kwa wanaume kinakuwa hakina hiyo mikosi?