Kuna watu wamebisha mpaka mishipa imewasimama...sijawahi kuweka mada hapa ikakosa ushuhuda wa kweliKuna ka ukweli kuhusiana na habari hii nilikuwa na mmoja wa hivo tumeachana
Sina hakika sana
Kuna watu wamebisha mpaka mishipa imewasimama...sijawahi kuweka mada hapa ikakosa ushuhuda wa kweli.Yeah tulipendana mno ila nikamtosa dakika za majeruhi,aliumia sana
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Hapana hii kwa sehemu kubwa inawahusu wanawakeKila binadamu ana hako "kamkia".. Hata wewe hapo ukijishika utakiona kipo kipo mwanzo wa mstari wa makalio... Ila kuna baadhi ya watu vyao vinakua vimetoka nje kidogo...
From history.. Binadamu tulikua na mikia lakn kutokana na mikia hiyo kukosa kazi ikawa imepotea... Maana ilikua haina kazi..
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Mkuu sijawahi kukutana hii scenario. Umenifumbua macho.Hata nilikuwa silijui hili.Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.
NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
eeeh basi mikia inakupendaNina shuhuda binafsi zaidi ya tano
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Ehuuuuuuuu!!![emoji116] [emoji115] [emoji115]Huwa kinakuwa kirefu na husimama wakati wa tendo
Mshana Weka Picha maana hakuna jinsi,wengine sio watafiti hatujawahi kuviona.
Nimepata shuhuda mbili, na wanaume wanako.Hapana hii kwa sehemu kubwa inawahusu wanawake
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Basi una nyota ya mikia, hebu jichungulie.Nina shuhuda binafsi zaidi ya tano
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app