Imebidi nikajichungulie aisee
Au, weka picha....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikaaje [emoji87] [emoji85] [emoji85]
Hapana rahisi ni kulala chali kukunja miguu kisha aitanue halafu achukue kioo ama aniite nimsaidie kucheki[emoji85] [emoji85] [emoji85]Shurti kujipinda kwa kila namna ili macho yaweze kuwa na access kunako ili kuhakikisha je, kipo au hakipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole Sakayo kwa zoezi zito sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nna ndevu halafu bado sijautwanga mkavu,dada yangu pia,binamu zangu wote
Na naamini kindevu hiki hakitoniletea bahati bali juhudi zangu na positive mindset...ingawa chenyewe kinakuwa kinanipa nguvu tu yani.
Haya bwanaShurti kujipinda kwa kila namna ili macho yaweze kuwa na access kunako ili kuhakikisha je, kipo au hakipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole Sakayo kwa zoezi zito sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wanaume wamenishinda tabia
We acha tuu, hapa mgongo waumaNakupiga picha kichwani jinsi zoezi lilivyoenda tangu mwanzo hadi mwisho huku ukiwa busy kutafuta ulichokuwa unakitafuta. Kheeee kheeeeeeeeee πππ
Mm sijawahi kuona hiko kinyama