Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
WekaNaomba mniruhusu kuweka Kapicha!
Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WekaNaomba mniruhusu kuweka Kapicha!
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.
NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Au apanue uchungulie, kama wee ni fisi utachungulia kila mmoja mpaka wakahadithiane.[emoji12]Ohk shukrani kwa darasa ila utagunduaje hilo
ndicho kinaitwa bawasili wanadai kina uhusiano mkubwa na mambo ya uzazi kam mwanamkw anacho si rahisi kushika ujauzito au ujauzito kutokaSio ndio kinachoitwa bawasili na kama ndio hicho basi atawanaume wanacho
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Huwa wanakatwa na waoKwa wanaume sijui kwakuwa sijawahi kufanya utafiti[emoji85] [emoji85]
Wangejua hata malkia anao wasingeona aibu...dah!Tatizo ni hofu kwa wanaume.. Maana wanaona ni ajabu sana mtu kuwa na kamkia
Hapa mistake itakuwa kusema nishaviona sana ila ni kweli tupu andiko la ndugu yangu mshana .Upo ushahidi tushauona
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Dah kuna watu wamebisha humu mpaka basi...nimebaki nashangaa tu kwakuwa kama mtu hakijui kitu haimaanishi kama hakipoSio bawasiri wala hameroids wala genital warts ni ni kinyama cha kutosha tu kinachomoza kutoka ndani ya njia ya haja kubwa
Niseme tu aliachika huko kwa talaka na mimi pia tuliachana
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Wanawake ndio zaidi na rekodi zinawashtakiHicho kinyama kipo kwa jinsia zote wanaweza kupata.Hakina uhusiano wowote na mikosi wala balaa ni tatizo la kawaida
Hicho kinyama kipo kwa jinsia zote wanaweza kupata.Hakina uhusiano wowote na mikosi wala balaa ni tatizo la kawaida
Ni watu wachache sana na wengi ni wanawake! Mkisema hata wanaume wapo mmejuaje?
Hv vitu vipo sana kuna vile huitwa vikanga hospital hawavijui huwa vinakatwa uswaz km kimeoDah kuna watu wamebisha humu mpaka basi...nimebaki nashangaa tu kwakuwa kama mtu hakijui kitu haimaanishi kama hakipo
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app