joyce shija
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 471
- 189
ndo mana nimekuja kwa siri kule inboboo ili nikupe laha katika loho kwa siliAcha upuuzi uwe unaheshimu jukwaa
Umeniuz kbsa
Pls naomba usiniweke tena kwenye huu mjadalanilengeshee huyo kidosho tafadhali yani hapa nilipo nitampa stahiki zake zoote na hatomtaka mwanaume tena mpaka anazikwa
we njoo inbobo inakua sili yetu sisi wanadadaSipendi kuudhika ila huyu mkuu kaniuzi, sikutaka maneno nae japo kanifuata kishari shari
Ila sipendi maneno yake for sure, aheshimu id nyuma ya pazia
How did he/she dare talking shits to somebody he/she does not know?
Agrrrrrrrr
au hujiamini kidosho wanguPls naomba usiniweke tena kwenye huu mjadala
Niheshimu kama ninavyokuheshimu
mimi ni she kama wewe tafadhali usiiite he tena tafadhari sana ujue nimekupenda bure tu sasa usinitukaneSipendi kuudhika ila huyu mkuu kaniuzi, sikutaka maneno nae japo kanifuata kishari shari
Ila sipendi maneno yake for sure, aheshimu id nyuma ya pazia
How did he/she dare talking shits to somebody he/she does not know?
Agrrrrrrrr
unakitu kitamu pale chini ila hujui kukitumia shauli zako iko siku kitaliwa na mchwaSipendi kuudhika ila huyu mkuu kaniuzi, sikutaka maneno nae japo kanifuata kishari shari
Ila sipendi maneno yake for sure, aheshimu id nyuma ya pazia
How did he/she dare talking shits to somebody he/she does not know?
Agrrrrrrrr
njoo kule ukate kiu yako weye mwisho utapagawa bure sababu una kiuPls naomba usiniweke tena kwenye huu mjadala
Niheshimu kama ninavyokuheshimu
Asante kwa ushuhuda lakini haimaanishi kama wewe hujakumbuna na tatizo basi wengine hawana... Ndio maana nikasema baadhi na sikusema wotemimi ni mmoja kati ya wanawake wenye hicho kinyama,mwanzoni nilihisi kama ni tatizo na anilijaribu kuonana na madaktri mpka nje ya nchi lakini wote walisema sio tatizo bali ni maumbile mtu anazaliwa nayo na haina madhara yoyote kiafya,
niwatoe tu hofu,sijawahi kukutan na mkosi wala maisha ya uchungu,nipo kwenye ndoa mwaka saba sasa na nina watoto watatu, sijawahi kupata shida ya uzazi wala kufiwa na watoto,kiufupi nakula maisha wala sina stress
naomba watu wasipotoshwe kwa hili,sio sahihi, nina uhakika na ninachokisema
Nafikiri hujasoma mada vizuri toka mwanzo na replies zilizofuatia hapa hatuongelei tatizo la kiafya la bawasiriNaona watu wanacomment kwa kufata imani potofu wakati hili ni tatzo la kiafya ambalo linaweza kumpata yeyote hapa hata ndani ya week 2 zijazo, ni matokeo tu ya kuvimba kwa mishipa midogo ya dam kwenye seem ya haja kubwa either kwa ndani au kwa nje, hali ambayo huletekezwa na mgandamizo mkubwa Wa mishipa hiyo. Hivo hakuna cha mikosi wala balaa, watu waliopo katika hatari ya kupata tatzo hili
1. Wenye uzito mkubwa na kitambi
2. Wajawazito
3. Wanaougua magonjwa ya kuhara Mara kwa Mara
4. Wanaotumia mda mwingi kukaa kwenye kiti
5.wasiofanya mazoezi
Tabia hatarishi ni kama kutokunywa Maji mengi, kujikaza sana wakati Wa kutoa haja kubwa, kudely kutoa haja, na ulaji Wa vyakula vilivyosindikwa kwa wingi.
Hivo hakuna haja ya kuwatuhumu wanawake pekee, mm ni mtumishi Wa afya napata kesi nyingi kutoka kwa wanaume kuliko hata wanawake.
Hapa JF na mashetani yapo aisee. Amenishangaza huyu aliposema eti isingekuwa serikali angekuwa anakula vibeans vilivyobanikwa. Sijui wamemlima ban. JF hapa shida tupu!!!Dunia simama nishuke[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Amenishangaza mno naona kazawadiwa ban halafu anatumia jina halisi kama ni lake kweliHapa JF na mashetani yapo aisee. Amenishangaza huyu aliposema eti isingekuwa serikali angekuwa anakula vibeans vilivyobanikwa. Sijui wamemlima ban. JF hapa shida tupu!!!
naona kazi zimepungua kidogo hun hadi unakuja kututusi hukuTatizo hao Wanawake wameanza kuota mapembe kwahiyo acha waongezewe mikia tu..
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]mkuu ngoja nisubiri mythical people waje...
maana tatizo letu sie wasomi sana hua hatuwezagi ku link hizi supersticious african beliefs na actual reality...
Imani zingine ni potofu na za kuachwa!
mshana jr mimi ni mwanaume mwenye mkia kiunoni, Mkia wangu uko mbele, Na kuna nyakati mkia huu huinuka Na kuongezeka kimo Na umbo Na baada ya muda fulani hurejea kwenye Hali yake ya kawaida. Nasikia eti baadhi ya watu waume ambao mikia yao Haina mvua za masika Huwa Na mahips makubwa sana na mawowowo kumshinda Sky Eclatmh mi sijawai kukaona kiongozi kumbe kuna wanawake wanavimkia ....na je kama iko kamkia kako kwa mwanaume inakuaje ? Vice versa au? Au haipo kwa wanaume ?
Mkia ni imani? simon baker Na idaz je mko tayari kuwa Na mwanamke mrembo mwenye kimkia?[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji123]mshana jr mimi ni mwanaume mwenye mkia kiunoni, Mkia wangu uko mbele, Na kuna nyakati mkia huu huinuka Na kuongezeka kimo Na umbo Na baada ya muda fulani hurejea kwenye Hali yake ya kawaida. Nasikia eti baadhi ya watu waume ambao mikia yao Haina mvua za masika Huwa Na mahips makubwa sana na mawowowo kumshinda Sky Eclat
Sababu ya kumuacha ni ipi? Kisa ana hicho kinyama?Aisee kuna mdada anako hako kamkia chini kidogo ya kiuno karibia na ule mfereji wa suez/panama.matatizo uliyoyaelezea ya kukosa furaha na nuksi yanalandana kabisa na situasheni aliyokuwa nayo yule dada,mie mwenyewe nlitemana naye ndani ya muda mfupi japo alikuwa mzuri sana