Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@culture gal bawasiri ni tofauti kabisa na hicho kinyama... Chenyewe huwa kimoja tu.. Bawasiri hutoka zaidi ya kimojaHiyo ni Bawasiri na huwatokea both male and female... ajabu umezungumzia upande wa female ajabu nyingine umeiweka kwenye suala la mikosi wakati hilo tatizo si hospital wala kwa wazee linatibika kwa kukikata.
NB: Majani ya Mgagani husaidia sana kutibu Bawasiri japo wanasema inauma sana ila mwenye tatizo akaze moyo ndio tiba.
Sawa kaka mkubwa... ngoja nifanye utafiti zaidi.@culture gal bawasiri ni tofauti kabisa na hicho kinyama... Chenyewe huwa kimoja tu.. Bawasiri hutoka zaidi ya kimoja
Poa poaSawa kaka mkubwa... ngoja nifanye utafiti zaidi.
Ulishasikia tatizo la 'Vikanga' iliaminiwa huwatokea wanawake tu navyo walisema wanakua na mikosi na hata watoto hufa, kumbe maskini inatokea kwa both, inatibika na upo tofauti na walivyoukuza.
Hii si bawasiri?
Bawasiri haihusiani chochote na utabibu huu wa kutishia watu wa Mshana Jr .
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Bawasiri haina uchuro na mikosi unayosema mdau.
Nyie ndio mlikuwa mnakata viungo albino au mnakata kichwa wenye vipara kule Kigoma mkavulie dagaa kwa wingi.
Wahenga wanakumbuka enzi hizo Kigoma na maeo ya Mpanda kulikuwa sehemu hatari kwa watu wenye vipara.[emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Lakini hata sasa watu wanauwawa hata kwa tofauti za kimtazamo na kiitikadi tuu... Kila mahali kila wakati watu wanauwawa na hii sip Tanzania tu bali ni janga la dunia nzima...Wahenga wanakumbuka enzi hizo Kigoma na maeo ya Mpanda kulikuwa sehemu hatari kwa watu wenye vipara.
Walikuwa wanauwawa na kukatwa vichwa kwa sababu ya imani potofu za kishirikina wanasema hivyo vichwa vipara ni dawa ya kuvua dagaa kwa wingi ziwa Tanganyika.
leo napita tuuu mkuuTuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.
NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Yeah kwa kiswahili ni BawasiliHemorrhoids
Hilo ni lile govi lao baada ya kukatwa upande wa juu tu kwa chini halikatwi so huviringishwa na kuning'inia kwa chini ya ubo.oMmmh dunia ina mambo, mbn nasikia hata wanaume wakimasai kwenye chululu zao pale walipo tairiwa pana kinyamaaa