Inatisha aisee.Lakini hata sasa watu wanauwawa hata kwa tofauti za kimtazamo na kiitikadi tuu... Kila mahali kila wakati watu wanauwawa na hii sip Tanzania tu bali ni janga la dunia nzima...
Kashogi yuko wapi leo hii... Mwili wale uliondoka kwenye mabegi akiwa kakatwa vipandevipande....
Umekionaje, mimi najua wewe siyo daktariTuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.
NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Hao ni Wakerewe na wakara...Wanawake wana maumbile ya ajabu sana; ukiwachunguza utachoka au utawaogopa. Wapo wenye kinyama mbele kilefu tu kama dudu la mtoto na akipandisha wazimu na hicho kinasimama.
Sijui kama atakujibuUmekionaje, mimi najua wewe siyo daktari
Haya mkuu; inaonekana wewe ni mtaalamu wa maumbile ya hao wamama.Hao ni Wakerewe na wakara...
Wanaviita "Msino"...
Akiamua kwamba Leo huingizi Ndonga yako kweli haingii....
Chezea dole gumba la kati ww
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mwanamke akiota hicho kinyama yafuatayo lazima yamkute.
1.ikiwa ana mme ugomvi huingia na wanaweza hata kuachana wanawake wengi wamepatwa na mikosi ya kutodumu na wapenzi kwa ajili ya hili.
2.huathiri sana watoto na ikiwa mama anacho mtoto akiugua sa1 asbh huenda asifike jioni akawa amekufa. Wanawake wengi wamefiwa watoto ghafla sababu ya linyama kama hili.
3.wanaume pia huota na kuzalisha matatizo kadhaa kwa watoto. Pia mwanaume ukiwa nalo utapata homa kali na haitibiki mpaka ulikate hilo.
Kuhusu uhusiano wa kuleta mikosi ni kugongana na maeneo linakoota. Ni maeneo yasiyohitaji uwepo wa kizuizi chochote hivyo kiotapo kule huwa kipo kama ishara ya kuzuia kitu chochote kusiingie kule ili kiwepo tu. Ulimwengu wa jadi una mambo mengi ambayo ukitaka kuyathibitisha ni kazi na hatari pia.
Unapotaka kuingia kwa mtu then akafunga mlango ni ishara ya kukufukuza. Kile kinafunga njia hata ikiwa si yote ila ile ishara tu ina nguvu ktk tamaduni that's why tunakata.
mkuu huo mgagani unatibu huo ugonjwa wa bawasiri embu nieleweshe hapo naomba msaada wako ?Hiyo ni Bawasiri na huwatokea both male and female... ajabu umezungumzia upande wa female ajabu nyingine umeiweka kwenye suala la mikosi wakati hilo tatizo si hospital wala kwa wazee linatibika kwa kukikata.
NB: Majani ya Mgagani husaidia sana kutibu Bawasiri japo wanasema inauma sana ila mwenye tatizo akaze moyo ndio tiba.
Ni hali ya kawaida na inaweza kutokea kwa sababu mbalimbali mh. shana.
Hizi skin anal tag husababishwa sometimes na
Pia zinaweza kutokea sehemu yoyote ya mwili.
- straining from constipation
- diarrhea
- heavy lifting
- strenuous exercise
- hemorrhoids
- pregnancy
- blood clots
View attachment 1002361View attachment 1002362
View attachment 1002363
Chini ya uchi wa mbele kwenye njia ya kutoka haja kubwa
Jr[emoji769]