Nilikua sijasoma NB. Hapo sasa tupo pamoja maana bawasiri na hii ni vitu viwili tofautiTuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.
NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Mshana Jr, unaletaje mada ambayo huna uhakika nayo ??, kwa taarifa tu tatizo hili huwapata hata wanaume piaSina hakika sana
Majibu yako yana shida sana, jtafakari kabla ya kuweka any comments mbele za watu wengi, waweza kujivunjia heshima yakoTatizo hao Wanawake wameanza kuota mapembe kwahiyo acha waongezewe mikia tu..
SureAsante sana... Wengi hawakuzingatia hili
Jr[emoji769]
NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa... Hivi umezingatia hii sentence ya mwisho?Mkuu nimesoma huu uzi mara mbili...nimeunganisha na mambo ya Afya sijapata jibu mkuu...inafahamika tu kuwa uko ugonjwa ambao veins in rectum and anus can be inflamed(Haemorrhoids),....sasa huu mkia mkuu tupige shule kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]hivi jamani hichi kidude si ata kuku anacho? au me naelewa tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi jamani hichi kidude si ata kuku anacho? au me naelewa tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app