Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

zaidi ya bawasili hata mie sijawahi kukiona hicho ki mkia kidogo.... so mfano watu maarufu mtu kama wema atakuwa nacho tu kwa vyovyote veile au?!! ni watu wa sampuli zipi ambao twaweza wabaini pasipo kuwapekua?!!! Fursa ya kuwapekua nayo ni adhimu....hata ikipatikana picha huwa adimu!!!
Fursa ya kuwapekua nayo ni adhimu....hata ikipatikana picha huwa adimu!!![emoji848][emoji2955][emoji3]
 
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!

Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...

Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane

Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.

Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.

Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.

NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Mbona unaongea kana kwamba umeishawahoji wengi au wote wenye kinyama hicho? Isiwe unatumia mjumuisho tokana na mmoja uliyemuona na hivyo ukajenga hitimisho jumla kuwa kila alo nacho yuko hivyo. Fanya utafiti kabla ya kuja na hoja ya jumla mwanangu. Utakosa ushauri wa maana.
 
Wapi napata maana naona tunaenda mwisho
Ninayo lakini pia kuna jamaa anauza hapa hapa JF ila ni kwa ajili ya tatizo la bawasiri kwa ishu ya hicho kinyama fanya tu upasuaji tafadhali
 
Mbona unaongea kana kwamba umeishawahoji wengi au wote wenye kinyama hicho? Isiwe unatumia mjumuisho tokana na mmoja uliyemuona na hivyo ukajenga hitimisho jumla kuwa kila alo nacho yuko hivyo. Fanya utafiti kabla ya kuja na hoja ya jumla mwanangu. Utakosa ushauri wa maana.
Nakushauri soma ukiweza replies zote kuanzia mwanzo utaona shuhuda za wengine
 
Nakushauri soma ukiweza replies zote kuanzia mwanzo utaona shuhuda za wengine
Nimesoma kila kitu sikuona specificity yoyote hapa wala chembe ya utafiti. Sijui nisome wapi na nini wakati mistari iliyoandikwa ni michache haiendi ndani ya tatizo .
 
Ndio maana aliyekuwa mchepuko wangu anaolewa na kuachika,kaolewa mara nne na kuachika ,halafu mimi nikajua alikuwa anafukuliwa tope ndipo kinyama kikachomoza,nilipomuuliza vipi huku akaniambia kilianza kuchomoza alipovunja ungo tu.
 
Msaidie afanyiwe upasuaji
 
Back
Top Bottom