Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Vipi vinavyotokana na kunenepeana kupita kiasi. Vipo vinavyotokana na ujauzito au uzazi. Vipo vinavyotokana na operesheni. Vyote vinatibika hospital.
Hapana hii siyo ugonjwa ni maumbile tu ni kama ki clitoris kidogo sana, wala hakiyakiwi kutolewa
 
Vipi vinavyotokana na kunenepeana kupita kiasi. Vipo vinavyotokana na ujauzito au uzazi. Vipo vinavyotokana na operesheni. Vyote vinatibika hospital.
Hapana hii siyo ugonjwa ni maumbile tu ni kama ki clitoris kidogo sana
Hata mimi nimewahi kuvisikia. Wahenga wanaenda mbali zaidi kwa kusema kwamba, mwanamkea aliyenacho kinyama hicho hata akizaa watoto wanakufa. Tiba yake huwa ni kukikata hicho kinyama na tatizo na mikosi inakwisha.
Mimi namfahamu mmoja ila ni kweli kaachika kwenye ndoa ila mtoto wake yupo hadi leo
 
Sio kweli kabisa,hicho kinyama ni marafhi tu,mimi niliwahi kupata binti mzuri sana,nikawa nae kwenye mahusiano na siku moja nikiwa nae,aliniambia kaota kinyama matakoni,nilimkagua na kweli nikakaona,bahati nzuri nilikuwa na rafiki ni daktari,ni mama mmoja hivi ambae alikuwa daktari wa wilaya,nilienda nae huyo bby wangu mpaka kwa daktari,akamchunguza akaniambia amfanyie upasuaji mdogo na alimfanyia na tatizo likaisha,huyo dada sasa hivi kaolewa mtwara na ana watoto 2.Hakuna shida yoyote,kwani huo ni ugonjwa ambao unawapata wanaume na wanawake,na wala jauna uhusiano na staili yoyote ya ngono
 
w
what? eti nimesoma nini hapa?
 
Best friend atakuficha nini sasa?

Tena namsaidia ad kumfuata mtaalamu wa kiwembe!

Akishakifyeka anapaka dawa nyeusi flani kama masizi'vi 'anapona',
baada ya muda flani kanaanza 'kusonga' tena!

Nadhani kinatembea kwenye ukoo.
Duh noma sana
 
OK basi sawa.. Hongera kwa kumpekenyua huko nanihii😋 sipati picha alikaa mkao gani🤣
 
Muwe mnawaowa basi,yani unamchngulia hivyo halafu anakuwa mke mtu mwingine,hapa ndio maana wengine wanasema bora uoe bikira.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…