Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Mimi miaka yangu ya ujana nilikuwa na mpenzi ambae tuliishi nae kwenye uhawara kwa zaidi ya miaka 8,ghafla alipata hiki kinyana,hakuzaliwa nacho.Nilimpeleka hospitali akafaniwa upasuani mdogo na akapona.Hakuwa na shida yoyote na ulipofika muda wa kuachana,tuliachana kwa amani na kila alichotaka nilimfanyia.Kwa sasa yupo na mmewe na wana watoto 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…