Madaam Poshy, mbunge mtarajiwa atinga mjengoni

Madaam Poshy, mbunge mtarajiwa atinga mjengoni

Shurti ujipitishe pitishe mjengoni 2020 hiyooooo soon atakuwa kwenye magwanda ya kijani na njano na mwaliko wake Ikulu unaandaliwa 😜😜

Hahaha sasa ajira zenyewe hakuna. .Maisha magumu serikali haitaki kuongeza mishahara. ...sasa tufanyaje mkuuu --usipojiongeza itakula kwako --..Aibu yenyewe ya siku 2 haiwezi nifanya niache kuzipigania hizo fursa
 
Bungeni kaenda kama nani?
Nini hasa kimempeleka bungeni
Lazima alivutwa huko
Huyo lazima atakuwa kuna big fish in the pound anamlaaa

Ova
Ungesee sana...Yani Malaya wa mbunge anaingia bungeni
 
Aise! !!
Shurti ujipitishe pitishe mjengoni 2020 hiyooooo soon atakuwa kwenye magwanda ya kijani na njano na mwaliko wake Ikulu unaandaliwa [emoji12][emoji12]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sijui leo ataenda kulala na nani pale nashera
 
Hongera Posh,wewe pekee ndio unajua ulienda kufanya nini..za malengo yako ni yapi .. all the best
 
Mkuu hukuziona picha za Hamisa Mobeto akiwa Ikulu akipeana mkono na nanihii? Ikulu yetu pamekuwa mahali pa hovyo hovyo hata wasiohusu kitu wanaalikwa.

 
Kashindwa kuvaa nguo nzuri kwa siku moja tu?
 
Km picha zinavyojieleza, mlimbwende huyu atinga kwa mjengo kwa mwaliko maalumu..

Kwa kasi hii ya awamu ya tano, inayoongozwa na kiongozi makini, akisaidiwa na watu makini km Prof Kabudi, Job Ndugai, Poul Makonda, bila kuwasahau viongozi makini chamani km Polepole na Musiba, kwa hakika Mlimbwende huyu ataongeza chachu ya maendeleo nchini..

Hizi ni baadhi ya picha zake kwa wasiomjua..

Karibu mjengoni na chamani Madaam..View attachment 1130743View attachment 1130745View attachment 1130746
OMG Tanzania yangu.
 
Aise. ...!!mkuu Kuna kipindi cha hapa kati niliji weka mbali kidogo na hizi social media. .so hilo tukio lilinipita
Mkuu hukuziona picha za Hamisa Mobeto akiwa Ikulu akipeana mkono na nanihii? Ikulu yetu pamekuwa mahali pa hovyo hovyo hata wasiohusu kitu wanaalikwa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom