Madaam Poshy, mbunge mtarajiwa atinga mjengoni

Madaam Poshy, mbunge mtarajiwa atinga mjengoni

Kwa kweli. ..Yaani bunge lime kuwa kama soko. .kila mtu anaingia tu foolish. ...

Hahah nyinyi endeleeni kujifanya mnafanya vitu serious tu vya msingi ...nchi hii ukifanya mambo ya kipuuzi ndio unapata channel za kufanikiwa maisha

Hahahah sasa hapo misingi kwenye jamii inakufa kipi cha kujivunia toka kwa huyo mdada?
 
Hahahah sasa hapo misingi kwenye jamii inakufa kipi cha kujivunia toka kwa huyo mdada?
Baada ya muda utasikia ana tembelea vogue wewe subiri utaona. ...Halafu Ataanza kupewa endorsement mbali mbali kisha media zitaanza kumuita mwana dada mjasiria Mali. ...

Ndio maana na mimi nataka nitoe sex tape yangu kama ile ya mchungaji ---najua baada ya hapo lazima nitapata channel kibao kama anavyo zipata yule mlevi wa taifa
 
Watanzania mbona tumekuwa wepesi wa kuhukumu hivi? huwa naona hapa hata wakulima wa nyanya vijijini huwaga wanaalikwa na kutinga bungeni, huyu ni mjasiri amali nadhani anamiliki biashara kadhaa Dar na kwa mujibu wa habari anataka kuwekeza doms pia kwa nini asiende bungeni? wakuu mbona mnakuwa na dirty mind kama hivi? simple minds....
 
Mule ndani ni ni noma ile chain simchezo
Wanasema ukipewa uzuri without brain private parts suffer the most kwa nnavyowajua wabunge wata mmbato huyu hadi iote sugu manake mule mule ndani wenyewe wanatafunana balaaaaa kuna chain moja ya hatari
 
Baada ya muda utasikia ana tembelea vogue wewe subiri utaona. ...Halafu Ataanza kupewa endorsement mbali mbali kisha media zitaanza kumuita mwana dada mjasiria Mali. ...

Ndio maana na mimi nataka nitoe sex tape yangu kama ile ya mchungaji ---najua baada ya hapo lazima nitapata channel kibao kama anavyo zipata yule mlevi wa taifa

Hahaha unataka kutumia fursa bwana weee nyie wabaya
 
Watanzania mbona tumekuwa wepesi wa kuhukumu hivi? huwa naona hapa hata wakulima wa nyanya vijijini huwaga wanaalikwa na kutinga bungeni, huyu ni mjasiri amali nadhani anamiliki biashara kadhaa Dar na kwa mujibu wa habari anataka kuwekeza doms pia kwa nini asiende bungeni? wakuu mbona mnakuwa na dirty mind kama hivi? simple minds....
Ni wivu tu.
 
Ana vigezo vyote vya kuwa waziri wa utalii na raslimali za nchi
 
Takataka kama huyu ndio anapewa hadhi ya kuingia bungeni, jengo takatifu zinapotungwa sheria za nchi..... Pumbavu sana
 
Karibu mjengoni na chamani Madaam..
fb_img_1560859196607-jpeg.1130743

Naona Mguu mmoja kuna kamba. Mkuu BAK kwa uzoefu wako hiyo tafsiri yake nini?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahaha sasa ajira zenyewe hakuna. .Maisha magumu serikali haitaki kuongeza mishahara. ...sasa tufanyaje mkuuu --usipojiongeza itakula kwako --..Aibu yenyewe ya siku 2 haiwezi nifanya niache kuzipigania hizo fursa

Hahahah haya bana kila la heri
 
Huyu binti hii shape sijui kaitolea wapi
 
Back
Top Bottom