Huyu Mimi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2019
- 2,575
- 2,117
Ahahaha KaabisaaSoko litakuwa la moto sana DOM kipindi hiki... Kwenda kule mnadani nk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaha KaabisaaSoko litakuwa la moto sana DOM kipindi hiki... Kwenda kule mnadani nk.
Kwa kweli. ..Yaani bunge lime kuwa kama soko. .kila mtu anaingia tu foolish. ...
Hahah nyinyi endeleeni kujifanya mnafanya vitu serious tu vya msingi ...nchi hii ukifanya mambo ya kipuuzi ndio unapata channel za kufanikiwa maisha
Ewaaaaahahaha portable like you!
Baada ya muda utasikia ana tembelea vogue wewe subiri utaona. ...Halafu Ataanza kupewa endorsement mbali mbali kisha media zitaanza kumuita mwana dada mjasiria Mali. ...Hahahah sasa hapo misingi kwenye jamii inakufa kipi cha kujivunia toka kwa huyo mdada?
Wanasema ukipewa uzuri without brain private parts suffer the most kwa nnavyowajua wabunge wata mmbato huyu hadi iote sugu manake mule mule ndani wenyewe wanatafunana balaaaaa kuna chain moja ya hatari
Niunganishe mkuu.haha niku unganishe mkuu
nawe ule utawala kama wenzio
maisha ni kupanga na nakupanga ni kuchaghua
yupo kwenye jengo lako mamaEwaaaaa
She was just like me!
Baada ya muda utasikia ana tembelea vogue wewe subiri utaona. ...Halafu Ataanza kupewa endorsement mbali mbali kisha media zitaanza kumuita mwana dada mjasiria Mali. ...
Ndio maana na mimi nataka nitoe sex tape yangu kama ile ya mchungaji ---najua baada ya hapo lazima nitapata channel kibao kama anavyo zipata yule mlevi wa taifa
Ni wivu tu.Watanzania mbona tumekuwa wepesi wa kuhukumu hivi? huwa naona hapa hata wakulima wa nyanya vijijini huwaga wanaalikwa na kutinga bungeni, huyu ni mjasiri amali nadhani anamiliki biashara kadhaa Dar na kwa mujibu wa habari anataka kuwekeza doms pia kwa nini asiende bungeni? wakuu mbona mnakuwa na dirty mind kama hivi? simple minds....
hahahaha; muoneNiunganishe mkuu.
Nitaahukuru.
Hahaha sasa ajira zenyewe hakuna. .Maisha magumu serikali haitaki kuongeza mishahara. ...sasa tufanyaje mkuuu --usipojiongeza itakula kwako --..Aibu yenyewe ya siku 2 haiwezi nifanya niache kuzipigania hizo fursaHahaha unataka kutumia fursa bwana weee nyie wabaya
Karibu mjengoni na chamani Madaam..![]()
Hahaha sasa ajira zenyewe hakuna. .Maisha magumu serikali haitaki kuongeza mishahara. ...sasa tufanyaje mkuuu --usipojiongeza itakula kwako --..Aibu yenyewe ya siku 2 haiwezi nifanya niache kuzipigania hizo fursa