Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Hata awe na akili kuliwa hawezi kuepuka.Watamtomba huyo asipokuwa na akili oweeee
Hahaha sasa ajira zenyewe hakuna. .Maisha magumu serikali haitaki kuongeza mishahara. ...sasa tufanyaje mkuuu --usipojiongeza itakula kwako --..Aibu yenyewe ya siku 2 haiwezi nifanya niache kuzipigania hizo fursa
Ungesee sana...Yani Malaya wa mbunge anaingia bungeniBungeni kaenda kama nani?
Nini hasa kimempeleka bungeni
Lazima alivutwa huko
Huyo lazima atakuwa kuna big fish in the pound anamlaaa
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungesee sana...Yani Malaya wa mbunge anaingia bungeni
Shurti ujipitishe pitishe mjengoni 2020 hiyooooo soon atakuwa kwenye magwanda ya kijani na njano na mwaliko wake Ikulu unaandaliwa [emoji12][emoji12]
Baada ya miezi kadhaa anakuwa DC.
Imeenda kama chura maarufuHuko bungeni amekwenda kama nani. ..Yaani amelifanyia nini Taifa. ..Hadi kupata huo mualiko. ?
Aisee! !!Imeenda kama chura maarufu
Maisha yapo kasi sana, wakati Poshy yupo Bungeni akifanya delivery, Wema yupo Segerea na kwa muda huu saa 11 jioni kashalala.
Aise! !!
mchina anawasitiri sana dada zetu wa leoHuyu binti hii shape sijui kaitolea wapi
Mimi huko sijawahi kupawaza kabisaaa jamaniiyupo kwenye jengo lako mama
lini unichukue na mimi
OMG Tanzania yangu.Km picha zinavyojieleza, mlimbwende huyu atinga kwa mjengo kwa mwaliko maalumu..
Kwa kasi hii ya awamu ya tano, inayoongozwa na kiongozi makini, akisaidiwa na watu makini km Prof Kabudi, Job Ndugai, Poul Makonda, bila kuwasahau viongozi makini chamani km Polepole na Musiba, kwa hakika Mlimbwende huyu ataongeza chachu ya maendeleo nchini..
Hizi ni baadhi ya picha zake kwa wasiomjua..
Karibu mjengoni na chamani Madaam..View attachment 1130743View attachment 1130745View attachment 1130746
Mkuu hukuziona picha za Hamisa Mobeto akiwa Ikulu akipeana mkono na nanihii? Ikulu yetu pamekuwa mahali pa hovyo hovyo hata wasiohusu kitu wanaalikwa.