Madaam Poshy, mbunge mtarajiwa atinga mjengoni

Hakika huyu mbunge mtarajiwa ni hazina kwa Chama chetu pale atakapokutana na wabunge machachari kina Lusinde, Msukuma, Mlinga na Wale wasomi wetu kutoka UDSM.
Kwakweli Kidumu Chama Chetu....
 
Life is a jest, and all things show it, I thought so once, and now I know it.
 
Jamani unichomeshe mkaa kweli?
Hauoni hiyo ni dhambi?
Mbona mchumba wa rafiki angu jirani
hapa anamsaidia Mr wake kubeba maji, utaweza tu


Hata tofali za tanuru la kuchomea, kubeba peke yangu napo mtihani.

 
Hili bunge la kutunga sheria au kuangalia misambwanda tu ujinga mkubwa kua na wabunge vilaza
 
Hahahah sasa hapo misingi kwenye jamii inakufa kipi cha kujivunia toka kwa huyo mdada?
Hapo dhamira ni kuua misingi mizuri katika jamii.. watoto wetu waanze kuiga mambo ya kipuuzi ili nao waende bungeni[emoji16][emoji16][emoji16]
 
We angalia hiyo picha before mchina and after mchina si kawaida tako na mahips kuumuka hivyoooo 😜😜😜

Kumbe mchinaa[emoji849]
 
bungeni mtu yeyote analuhusiwa kwenda mkuu fuata tu utaratbu!! '" ni wivu tuu!!" i. Gwajima's voice!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…