Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
unaombwa vocha ya buku unalalama je swift si utazi-mia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekuweza.mia
na wewe uache uchoyo, si ungetuma jero tu,
He, si umejiingiza mwenyewe.
kawadanganye madada uliozaliwa nao tumbo mmoja wasiwe na ulocal ujionee kama hata mmoja atafika form six
umezidi nawewe!
Madada wa namna hiyo mie ndiyo kiboko yao
Madada wa namna hiyo mie ndiyo kiboko yao
kwani ukimpa salamu halafu mambo ya simu yasiwepo kuna tatizo gani?matatizo mengine ya kujitakia
na wewe uache uchoyo, si ungetuma jero tu,
sa ulitaka mwenyewe.mia
Duh! Wakaka mnaotuongelesha ongelesha kwenye magari mnakera jamani.
Ukikaa siku nzima bila kuongeleshwa mdomo utachacha
Kama Unahitaji no za warembo sema utumiwe no kama 500 hivi. mia!
aah wapi. Nitaongea ninapoenda. Kuna watu wanapenda kujenga mazoea kwenye magari. Wengine tunapanda na mastress yetu wao kazi kuongea ongea.
Upo ndani ya usafiri umekaa seat moja na mdada mrembo.unaamua kuvunja ukimya.cha ajabu wewe unamuongelesha kwa upole mwenyewe anajibu kwa kupayuka hadi abilia wenzenu wanawageukia.unamuomba namba ya simu anakujibu sina simu wakati unaiona.baada ya mda anakuambia labda unipe wewe namba yako nikubeep.unampa.kesho yake unampigia anakuuliza nani?baada ya kujitambulisha unasikia; ahaa..mambo baby..bora umenipigia yani simu yangu inasoma zero na kuna mtu nashida naye..tumie vocha..mpenzi sorry!
ACHA ULOCAL.mia
JF vituko haviiishi. Mia
Sababu kubwa ni kuwa wanaume wengi kama mimi na wewe ..tumewadanganya hawa kina dada hadi kujishusha thamani yetu. Mara nyingi akili ya mwanaume inakimbilia kwenye ..between the legs..
Dalili ya mvua ni mawingu.. Ukiona mdada kakustukia..Kaa kimya..siyo lazima kulazimisha uhusiano..
ahhaaaaaaaaaaaaaaa utaisoma nambaUpo ndani ya usafiri umekaa seat moja na mdada mrembo.unaamua kuvunja ukimya.cha ajabu wewe unamuongelesha kwa upole mwenyewe anajibu kwa kupayuka hadi abilia wenzenu wanawageukia.unamuomba namba ya simu anakujibu sina simu wakati unaiona.baada ya mda anakuambia labda unipe wewe namba yako nikubeep.unampa.kesho yake unampigia anakuuliza nani?baada ya kujitambulisha unasikia; ahaa..mambo baby..bora umenipigia yani simu yangu inasoma zero na kuna mtu nashida naye..tumie vocha..mpenzi sorry!
ACHA ULOCAL.mia