Madada acheni tabia za kilocal

Madada acheni tabia za kilocal

hahaha! hiyo biashara ya kupendana kwenye mabasi unaiweza wewe tu figga. nishindwe kujilengesha hata kwa majirani ama ndugu za majirani? kha!
sikushauri ufanye hivyo.hata vibaka hawakabi maeneo ya nyumbani kwao.ukifanya hivyo heshimaa yako itashukaa kitaani kwenu.inatakiwa uyafanyie mbali.mia
 
Ki ukweli lazima uwe na kiasi c kila mwanamke wa kutongoza ati kisa umekaa naye siti moja mara 1 moja jiweke busy na mambo ya muhimu...
asante mkuu kwa ushauri.mia
 
Tamaa si nzuri sana ktk maisha haya... Alifanya vema kukutishwa matatizo yk sasa unalalamika nn? Wenzio wanavitunza na kulea co acha kulalamika hamna bure
basi imekula kwangumia
 
Wa2 kama nyie ndo nawataka kweli
mnaboa ile mbaya
utakuta mtu unamambo yako kibao kazi kuita tu dada dada
kama ndo mm nakuomba vocha humohumo kwenye gari.
maana najua ndo njia mojawapo ya kuacha usumbufu wako
mambo gani ya kutongozana kwenye madaladala.

umeona eeh? Watu kama hawa unawakimbiza kwa mizinga tu.
 
kama ni wewe imekutokea figanigga safi sana, ukome kujipendekeza kwa vibinti virembo, wengine ni machangedoa wapo kazin we unashobokea. Wacha wakuchune mkuu. Mia.
 
Hapo Jigga anakwambia "I got my suspicions, that you're just fishin in a pool of sharks" . Tafuta sehemu zinazohusika. Sio ukiona kichaka tu unataka kwenda haja.

Ukitaka kula kila kitu utakula mpaka matunda ya sumu.
 
Ahaaaa vocha kwani tatizo unampa 1oo

vocha sio tatizo,tatizo ni kwanini aendekeze njaa.kwanini amgeuze mwanaume kitega uchumi eti kwa sababu kampenda.sio ishu mtu wangu.mia
 
umeona eeh? Watu kama hawa unawakimbiza kwa mizinga tu.

kama nakutaka usitegemee ntakimbia.cha kufanya ntakua naleta mboga na kuhakikisha nmekula nlipopeleka mboga.mia
 
kama ni wewe imekutokea figanigga safi sana, ukome kujipendekeza kwa vibinti virembo, wengine ni machangedoa wapo kazin we unashobokea. Wacha wakuchune mkuu. Mia.

hahahaaa...!!mkuu mimi sichuniki kilahisi.huwa nakikuangalia usoni nakua nshakusoma tabia zako.yaani naweza kukukanyaga niskupe hata shilling kumi.mia
 
Hapo Jigga anakwambia "I got my suspicions, that you're just fishin in a pool of sharks" . Tafuta sehemu zinazohusika. Sio ukiona kichaka tu unataka kwenda haja.

Ukitaka kula kila kitu utakula mpaka matunda ya sumu.

kwa hiyo mkuu tusile wala kwenda haja sio?hapana,haya mambo yapo huwezi kuyaepuka.mia
 
Wa2 kama nyie ndo nawataka kweli
mnaboa ile mbaya
utakuta mtu unamambo yako kibao kazi kuita tu dada dada
kama ndo mm nakuomba vocha humohumo kwenye gari.
maana najua ndo njia mojawapo ya kuacha usumbufu wako
mambo gani ya kutongozana kwenye madaladala.
Sasa atajuaje una mambo yako kibao ili asikuite???
Na kama kutongozana kwenye daladala siyo sawa akutafutie wapi? Si ndo maana kaomba namba ya simu ili akutongozee nje ya daladala?! mia.
 
Back
Top Bottom