Madada acheni tabia za kilocal

Madada acheni tabia za kilocal

wanakukomesha, mpk akupe no ya simu anakujua? umezidi, tena mi watu wanaoomba no za simu ovyo huwa ndo nawaona malocal
 
Sasa atajuaje una mambo yako kibao ili asikuite???
Na kama kutongozana kwenye daladala siyo sawa akutafutie wapi? Si ndo maana kaomba namba ya simu ili akutongozee nje ya daladala?! mia.

Mkuu wewe una akili sana.mia
 
Dah! Dah! Pole sana figganigga kwa mkasa uliokukumba, safari nyingine uwe makini ktk kuomba au kutoa namba za simu!

asante mkuu.tatizo huwezi kumjua tapeli kwa kumtazama.sema akishaanza action unakula kona.Mkuu nakuhakikishia nipo kamili gado na makini sana ninapo ongea na hivi viumbe.mia
 
kuna mdada mmoja nlishakaa nae kutoka mwenge kwenda posta nkamwona anahangaika kutaka kunsemesha akashinwa maskini
baadae mara ashike simu mara aniwekee mkono na kusema sory nkamwamngalia tu kwani
siku hiyo akili yangu ilikuwa haisomi network, tukashuka wote posta akajikaza kuniuliza benki ya CRDB iko wapi wakati inaonekana.
nkamwelekeza kwa kidole akasogea but huku akinianagalia nenda wapi,bahati yake ningekuwa kiwembe kama MS angeipata.
wakaka bahati zipo tu huna haja kuomba no ya simu wataomba wenyewe.
 
kwa hiyo nyie mambo ya kupiga mzinga kila mnayekutana naye kwenye kona nyote mnaiunga mkono?kama ndo hivyo basi tujue wasichana wameisha.au tuseme ni maduka yanayotembea.upendo wa mababu zetu umeenda wapi.hizi comment zenu zinazidi kunivuruga akili.yaani hata wewe husninyo unaunga mkono madada wenzio wanayoyafanya?kweli no money no honey.mia
 
kuna mdada mmoja nlishakaa nae kutoka mwenge kwenda posta nkamwona anahangaika kutaka kunsemesha akashinwa maskini
baadae mara ashike simu mara aniwekee mkono na kusema sory nkamwamngalia tu kwani
siku hiyo akili yangu ilikuwa haisomi network, tukashuka wote posta akajikaza kuniuliza benki ya CRDB iko wapi wakati inaonekana.
nkamwelekeza kwa kidole akasogea but huku akinianagalia nenda wapi
kweli penye miti hapana wajenzi.angekua tusker bariiidi aone.mia
 
Back
Top Bottom