valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,852
- 873
wasichana wengi wamekuwa MAMAJUSI...yani wanatembelea nyota.ukija kichwa kichwa sio vocha tu, na salun, na shoping utampeleka wakati hata lako Wala jina lake la pili hulijui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wasichana wengi wamekuwa MAMAJUSI...yani wanatembelea nyota.ukija kichwa kichwa sio vocha tu, na salun, na shoping utampeleka wakati hata lako Wala jina lake la pili hulijui.
Hahahaha! Umeniacha hoi na neno MAMAJUSI!!! Looh!
limeniudhi.mia
Ndio ukome.mia
wasichana wengi wamekuwa MAMAJUSI...yani wanatembelea nyota.ukija kichwa kichwa sio vocha tu, na salun, na shoping utampeleka wakati hata lako Wala jina lake la pili hulijui.
Hahaha!!!! Nimecheka kweli mkuuwasichana wengi wamekuwa MAMAJUSI...yani wanatembelea nyota.ukija kichwa kichwa sio vocha tu, na salun, na shoping utampeleka wakati hata lako Wala jina lake la pili hulijui.
Hahahaha! Umeniacha hoi na neno MAMAJUSI!!! Looh!
Nia ya kutongoza wadada kwenye daladala ninini?? Kwanini ufanye hvyo wkt unajua waz kw hakujui wl humjuimmekutana km zali. Hujionei huruma??
mie nadhani wewe ndo unatabia za kilocal za kutongoza tongoza hovyo hovyo. And therefore ur tittle inatakiwa ibadilike kuwa "wakaka tuacheni tabia za kilocal" mods plz!
Umeyataka na ulichopata ni stahili yako. Unafikiri kila unayekutana nae anawaza mapenzi tu. Next time utachagua cha kuongea badala ya kutongoza hovyo.
mjini kila kitu ni deal, ukishoboka ndo kama hivyo