Madada acheni tabia za kilocal

kawadanganye madada uliozaliwa nao tumbo mmoja wasiwe na ulocal ujionee kama hata mmoja atafika form six

duh!haya ndo mambo ya j3.sasa mimi nmemdanganya nini?mia
 
hakuna kitu kinachonifurahisha kama mkaka unasafiri nae,mnapiga stori hadi mnafika kila mtu aendako,mnashare hadi idea za maendeleo. afu mnaachana kwa kutakiana kheri. mambo ya kuanza kugandana figga uache banaa,lol
 
kwani ukimpa salamu halafu mambo ya simu yasiwepo kuna tatizo gani?matatizo mengine ya kujitakia

nilimtamani.yaani mwenyewe ukimuona utakubali.kwanza ana sura ya mvuto u kn wat m sayn?.mia
 
Duh! Wakaka mnaotuongelesha ongelesha kwenye magari mnakera jamani.

nyie madada mumeumbwa kwa ajili yetu makaka.so kaa mkijua kwamba nyie ni riziki yetu sisi makaka.kumbe mnataka msumbuliwe na wakina nani?mia
 
Kama Unahitaji no za warembo sema utumiwe no kama 500 hivi. mia!

mkuu warembo ni kweli wapo kibao tena bwelele.lakini ile ya gombania goli huku anavuta na wewe unavuta,huku anavaa na wewe unavua ndo huwa inanoga.siyo ile ya kutengewa mezani kama ugali bila mboga.mia
 
aah wapi. Nitaongea ninapoenda. Kuna watu wanapenda kujenga mazoea kwenye magari. Wengine tunapanda na mastress yetu wao kazi kuongea ongea.

hahahaaa..!!kweli kama leo j3 watu kibao wananuna ukimuuliza nini eti anaumwa kichwa kumbe pombe za jana.mimi nakomaa nao hivohivo.mia
 
Ndiyo mkome kutoa toa macho kwenye vyombo vya usafiri!
Tamaa tu ka za fisi. Sasa hapo umempenda au umemtamani?


 

anayejifanya ngangali ndo poa mi naichukulia ka mechi ya kirafiki.hapo ndo pakupima uwezo wako wa kuwateka hisia hawa viumbe ukoje.mia
 
ahhaaaaaaaaaaaaaaa utaisoma namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…