halafu dada zenu sisi jamani ni wazuri/warembo, nimefanya kazi na hao wa niger/cameroun hakuna kitu, na tunajitambua pia, sio wote wapo mnavyofikiria ni hizo asilimia chache mlizokutana nazo.
hehe shem si unajua wenyewe kwa wenyewe tunajuana?sasa hata gari ikiwa mtumba umetumika ulaya kisha japan kisha dubai kisha bongo unakua mtumba kwelinadhani hujui unaongea nini sasa......ona hapa chini
kwa hiyo unahalalisha sisi kutumiwa kishenzi shenzi na nyie lakini si watu wengine eeeh
pity...!!!
Aminia dada.
Hapa tunapoteza muda. Watu wanatakiwa kujua kuwa duniani (including Bongo) wapo baadhi ya wanaume ambao ni washenzi na wakatili kama ambavyo wapo wanawake wa namna hiyo. Kwa hiyo sipendi kuona wote tunatukana hovyo badala ya kuwaongelea hao wanaofanya upuuzi.
kwa swala la urembo ni warembo sana isee hapo hakuna mjadala,si ndio maana tunasikia wivu mkiwa mnachezewa chezewa km karata.halafu dada zenu sisi jamani ni wazuri/warembo, nimefanya kazi na hao wa niger/cameroun hakuna kitu, na tunajitambua pia, sio wote wapo mnavyofikiria ni hizo asilimia chache mlizokutana nazo.
watu wanaandika andika tu...........................
Mambom gani mhaya mbona mi sielewi??????????????????
tusichoshane jamani kabla ya maisha bora kwa kila mmbongo hayajatufikia.............
[/color]
haya maisha bora yatafika lini niendelee kusubiri
mkuu hizo bangi nenda kale ugali kwanza,we unasubiri maisha bora wakati mwenyewe aliyekuahidi yuko visiwa vya bahamas anakula life we unangoja tu hapo manzese kalaghabaho.watu wanaandika andika tu...........................
mambom gani mhaya mbona mi sielewi??????????????????
tusichoshane jamani kabla ya maisha bora kwa kila mmbongo hayajatufikia.............
BabuKijana uko sawa kabisaaaaa. dadazetu sijui wamerogwa na foreigners!!! hawakatai hata km huyo mtu huko anakotoka ni sawa na manzese lkn utasikia mdada anajisifu eti Msauzi yulee. aibu tupu wanaishia kudanganywa tu na kuachwa solemba hapa bongo
watu wanaandika andika tu...........................
mambom gani mhaya mbona mi sielewi??????????????????
tusichoshane jamani kabla ya maisha bora kwa kila mmbongo hayajatufikia.............
Pole sana babukijana umetoswa... Matatizo yako pande zote za mahusiano sio madada tu hata nyie kina kaka mna mengi makubwa na mazito ...tunaenda mdogo mdogo tu !!
hawa sister zetu sijui vipi,unaweza kuta mtu wa maana unamfatilia kiukweli lakini anakuletea miyeyusho kibao,halafu sasa unakuja kuta kuna lofa mmoja either katoka congo,malawi,,burundi,zambia,nigeria ndio usiseme wanawaona kama wazungu, yaani popote almradi tu sio mtanzania,hata awe katoka kabul afghanistan poa tu,mbaya zaidi waweza sema anatafuta maslahi,unaweza kuta jamaa mwenyewe choka mbaya sana,lakini demu yuko tayari hata kufanya uchangu kwa majamaa mengine,ili tu aendelee kumpa gud tyme huyo huyo jamaa yake foreigner,dah mie hapo huwa ndio nashindwa kuwaelewa kabisa,so cheap stuff,kwanini mnafanya mambo haya lakini,naomba mtujibu pulizz.
Labda na wabongo wanababaikiwa nchi zingine utajuaje, teh teh!Da B, huo ndo unaitwa mchezo wa nyani kutoona lidubwasha lake, lakini anayashangaa na kunanga ya wenzake!!