Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
halafu dada zenu sisi jamani ni wazuri/warembo, nimefanya kazi na hao wa niger/cameroun hakuna kitu, na tunajitambua pia, sio wote wapo mnavyofikiria ni hizo asilimia chache mlizokutana nazo.
Aminia dada.
Hapa tunapoteza muda. Watu wanatakiwa kujua kuwa duniani (including Bongo) wapo baadhi ya wanaume ambao ni washenzi na wakatili kama ambavyo wapo wanawake wa namna hiyo. Kwa hiyo sipendi kuona wote tunatukana hovyo badala ya kuwaongelea hao wanaofanya upuuzi.