Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]Huu ndio uhuru Nyerere aliupigania...safi kabisa.
Kwa kweli amekoshewa mndoa ndoa!![emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]Ana kismat cha ndoa
shida sio uke wake, hao wanaume wake. MWANAUME KAMILI NA AKILI HUWEZI ISHI NA MTU WA MDOMO ULEMwanamke mpumbavu sana,yaani huo uke wake anaufanya kama bazoka kila mtu akitaka anatafuna utamu ukiisha anaitema,anajiabisha sana.
Hakuna maajabu ni bwawa limemwagiwa upupu wa waganga wa kienyeji ili unaseIgekuwa ruksa kutest mitambo mie ningeenda kutest nione cha ajabu nin kiasi hao wajomba wanapagawa?
Ni kweli ana maajabu au wajomba tu na umbwiga wao!!![emoji848]
Aolewe ht ndoa 10 kheyr yake maana wenziwe hata ya bomani hawajawahi!Uzuri kwa imani ya dini yake inamruhusu ndoa hizo!!!ingawa kimaadili sio nzuri pia ila ni bora aolewe kuliko zinaaa!
Hivi limeachika tena?Aolewe ht ndoa 10 kheyr yake maana wenziwe hata ya bomani hawajawahi!Uzuri kwa imani ya dini yake inamruhusu ndoa hizo!!!ingawa kimaadili sio nzuri pia ila ni bora aolewe kuliko zinaaa!
Ndoa zote tano umeachika, kuna nini cha ziada hapo, waowaji nao ndiyo seke seke lingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungetest kuishi naye ili ujue kwanini wanamkimbia.Igekuwa ruksa kutest mitambo mie ningeenda kutest nione cha ajabu nin kiasi hao wajomba wanapagawa?
Ni kweli ana maajabu au wajomba tu na umbwiga wao!!![emoji848]
Wajomba huenda wanakutana na nta😅Igekuwa ruksa kutest mitambo mie ningeenda kutest nione cha ajabu nin kiasi hao wajomba wanapagawa?
Ni kweli ana maajabu au wajomba tu na umbwiga wao!!![emoji848]