Madada wa mujini, role model wenu anajitapa kuitafuta ndoa ya tano

Madada wa mujini, role model wenu anajitapa kuitafuta ndoa ya tano

Aolewe ht ndoa 10 kheyr yake maana wenziwe hata ya bomani hawajawahi!Uzuri kwa imani ya dini yake inamruhusu ndoa hizo!!!ingawa kimaadili sio nzuri pia ila ni bora aolewe kuliko zinaaa!
 
Huyu Dada inaelekea ni Mtaalam sana Wa Kuifinyia kwa Ndani.

Hata akijisifu kuwa yeye ndiye huwaacha wanaume ninaweza kuamini sasa.

Maana mwanaume aliyejitambua ni vigumu kushawishika kuoa Mwanamke aloachika na ambaye dhahiri anaonekana ni Gubegube..
 
Back
Top Bottom