Madagascar: Rais atangaza Wabunge 2 kufariki kwa Corona, 25 wengine wanaumwa

Hiki kirusi kinatisha sana, kama ndugu zetu hapo kenya ndani ya masaa 24 wamepoteza raia 12. Mbaya zaidi kuna ambao wamefia nyumbani inaonesha ni jinsi gani ugonjwa umesambaa mtaani. Na hospital huko kumejaa. Yani hili janga ni hatari sana.
 
Mkutano mkuu wa CCM ulikuwa ndio kielelezo kikukuu cha korona kama ipo au la.

Hata sijui nchi za wenzetu wanakosea wapi? Au hawajui kuhusu kupiga nyungu, limao na tangawizi!

JPM ndiye baba lao.
Ila korona kama bado ipo ule mkutano hakuna atakaepona aisee
 
Mkutano mkuu wa CCM ulikuwa ndio kielelezo kikukuu cha korona kama ipo au la.

Hata sijui nchi za wenzetu wanakosea wapi? Au hawajui kuhusu kupiga nyungu, limao na tangawizi!

JPM ndiye baba lao.
Subiri 14 days ndio majibu ya kitaalamu utayapata.
Omba attendance register ya juzi kisha baada ya 14 days ita roll call!
 
Sasa ona Magufuli anavyotapelika kirahisi, na kawaida yake akishaboronga sasa hilo swala hataki tena mtu alizungumzie.

Ukilizungumzia tu unabambikiwa shitaka la uchochezi na uhujumu uchumi.
 
hapo ndio utagundua kua mganga hajigangi ...
 
Mungu ni MKUBWA na hufanya apendavyo na hakuna limshindalo na anapoamua kufanya husema tu KUWA na KITU KIKAWA bila kujali nani ana nini na nani anasemaje.
Mengi humshinda, je anaweza sema afe yeye na akafa?
 
Kwingine Corona Inaua, Tanzania pekee ndio Corona haiui.
Kwingine Corona imeua uchumi, Tanzania pekee ndio Corona imekuza uchumi Hadi uchumi was kati
Ni Taifa teule!
 
TZ tusubiri maambukizi makubwa baada ya mikutano ya CCM huko Dodoma maana si kwa starehe zile!!!! Kungwi mwenyewe, waziri wa afya, hakuvaa hata barakoa ya majani.
Utasubiri sana sisi tupo na Mungu wetu. Usifanye masihara na kufunga siku tatu kwa maombi then kufunga siku tatu kwa shukrani. Mwacheni Mwenyezi Mungu atende yake kwa maana yeye ndio muweza wa vyote.
 
Mtukio 2 ya ajabu duniani 2019:
1. Kupima Corona mapapai, oil, mbuzi n.k
2. Kufuata dawa ya Corona Madagascar
Poleni majirani kwa wivu!! Poleni kwa kuwa ndani ya top 10 kwenye covid 19 in Africa. Poleni Sana Kenya kwa kukazimika kufungua shule Hadi 2021 kutokana na Corona!! Tanzania tunasonga mbele Mungu ametuponya. Mlitucheka lakini Sasa roho zinawauma! Ila Mungu Ni wa wote, mkimwamini kwa dhati atawaponya pia kamaTaifa. Ila mahali pa kuanzia ni kuomba msamaha kwa wote mliowakejeli walipomtegemea Mungu badala ya kutegemea lockdown!! Bila hivyo Corona itawamaliza!
 
Akili yako kama mapapai tu! Masikini husifia atachawa wake!
 
Waunde tume kuchunguza na kuangalia kama wamewahi kupokea Barakoa kutoka kwa mabilionea wa kibeberu.Yule waziri aliyekejeli kuwapa pipi watoto wapoze uchungu wa covid aangaliwe nyendo zake na mahusiano yake.
Watafuata utaratibu tu
 
Wabunge wawili wa Madagascar wamefariki kwa ugonjwa wa corona. Waandamizi 11 na maseneta 14 pia wamekutwa na corona. Madagascar imeripoti visa 2,573 vikiwepo vip 35 kutokana na corona. Two Madagascar lawmakers die with coronavirus

Je dawa ya corona iitwayo "green gold" tuliyonunua kwa kutumia ndege ya rais itatusaidia kama inaonekana haiwasaidii hata maofisa wakubwa wa Madagascar?
 
Hawakuwa na imani hao
 
Mkutano mkuu wa CCM ulikuwa ndio kielelezo kikukuu cha korona kama ipo au la.

Hata sijui nchi za wenzetu wanakosea wapi? Au hawajui kuhusu kupiga nyungu, limao na tangawizi!

JPM ndiye baba lao.
Inawezekana kweli corona inamwogopa magu yaani mikusanyiko yote ile lakini bado anadunda?corona is not fair at all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…