Madagascar wao hawana visingizio,wanashine tu,Taifa stars tunafail wapi?

Write your reply...
madagascar toka mechi za kufuzu nilivyowaona nikajua tu kweli wapo makini. jamaa wanaua nyani bila kuangalia usoni

team madagascar hapa
 
Madagascar haoo robo fainali sisi tunasubiri tupate uzoefu. Madagascar wao wamempiga mwenye uzoefu leo.
 
Madagascar wamekipiga Jana kiukweli....hivi yule ustadhati alikuwa anaonekana mara nyigi kwenye screen anacheo gani mpaka camera zikawa zinammulika Mara nyingi vile
 
Madagascar wamekipiga Jana kiukweli....hivi yule ustadhati alikuwa anaonekana mara nyigi kwenye screen anacheo gani mpaka camera zikawa zinammulika Mara nyingi vile

Kwa dua alizoomba jana yule nahis zimesaidia sana maana wachezaji dakika za mwisho walikata upepo
 
Madagascar wanashiriki AFCON kwa mara ya kwanza,wamemtoa jasho GUINEA na leo wanamtoa Jasho Nigeria,hope watashinda.Wao kazi yao ni moja tu kusukuma ball haijalishi aliye mbele yao ni Nigeria ama GUINEA.Tanzania taifa stars tunafail wapi?
Shida ya Tanzania ni siasa mbele kuliko taaluma. Kikosi cha timu kinaweza pangwa hata na waziri wa ndani, mkuu wa mkoa, Raisi, Mkuu wa wilaya au kiongozi yoyote yule. Kutokuwa na mikakati madhubuti ya kuendeleza mpira. Kuna wale watoto wa serengeti boys na ndondo cup hawapei kipaumbele kabisa. Hao under 17 wakishamaliza league huwaoni tena. Timu ya taifa imejaa wachezaji wa simba, yanga na azam tu.
 
Rais wa CAF ahmada ahmada,ni mmadagascar, alikuwepo uwanjani,rais wa madagascar rajoelina alikuwepo uwanjani,mashabiki 400 kutoka madagascar wakiletwa kwa ndege aliyotoa rais(mechi ya drc)wakati hayo yakifanyika magufuli yeye alitumia ndege AIR BUS kwenda chato kupumzika,
 
Umeona eeh,yaani wanasiasa wamegeuka kuwa makocha wa Taifa stars.
 
Madagascar anawakilisha taifa kwa ujumla(Hakuna issue za vyama). Taifa stars anamwakilisha Raisi na serikali ya awamu ya 5. Rejea kauli ya Makonda na Samata. Hapo ndiyo ujue tunafail
 
Mnafeli kuleta siasa
Mnafeli kuleta usimba na yanga pia

Ova
 
Madagascar wanashiriki AFCON kwa mara ya kwanza,wamemtoa jasho GUINEA na leo wanamtoa Jasho Nigeria,hope watashinda.Wao kazi yao ni moja tu kusukuma ball haijalishi aliye mbele yao ni Nigeria ama GUINEA.Tanzania taifa stars tunafail wapi?
If A=B=C A is taifa stars,B=CCM = Police
 
Madagascar wanashiriki AFCON kwa mara ya kwanza,wamemtoa jasho GUINEA na leo wanamtoa Jasho Nigeria,hope watashinda.Wao kazi yao ni moja tu kusukuma ball haijalishi aliye mbele yao ni Nigeria ama GUINEA.Tanzania taifa stars tunafail wapi?
Mwenyekiti wa CAF anatoka kwao,na kwa tabia zetu wa Africa hakuna kuuliza kitu hapa
 
Mwenyekiti wa CAF anatoka kwao,na kwa tabia zetu wa Africa hakuna kuuliza kitu hapa
Hapana jamani. Vijana wanacheza soccer zuri. Nadhani mwenyekiti kutoka kwao sio sababu. Tokea kwenye makundi walikuwa vizuri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…