bobefu zoefu
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 566
- 420
Ni yule prince wa tz
Mcheza rede? Ndiyo nani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mcheza rede? Ndiyo nani mkuu?
Madagascar Wazee Wa Assimilation Policy [emoji1]Madagascar haoo robo fainali sisi tunasubiri tupate uzoefu. Madagascar wao wamempiga mwenye uzoefu leo.
Si ndo rais wa CAF huyo.. Ni raia wa MadagascarMadagascar wamekipiga Jana kiukweli....hivi yule ustadhati alikuwa anaonekana mara nyigi kwenye screen anacheo gani mpaka camera zikawa zinammulika Mara nyingi vile
Madagascar wamekipiga Jana kiukweli....hivi yule ustadhati alikuwa anaonekana mara nyigi kwenye screen anacheo gani mpaka camera zikawa zinammulika Mara nyingi vile
Huu ujinga sijui utaisha lini? . Eti na maombi yanaombwa kwa mbwembweeTunafeli pale ilipoanza kuitwa taifa staa
Kuiombea taifa staa , ni matumizi mabaya ya maombi na kumjaribu bwana Mungu wako
Shida ya Tanzania ni siasa mbele kuliko taaluma. Kikosi cha timu kinaweza pangwa hata na waziri wa ndani, mkuu wa mkoa, Raisi, Mkuu wa wilaya au kiongozi yoyote yule. Kutokuwa na mikakati madhubuti ya kuendeleza mpira. Kuna wale watoto wa serengeti boys na ndondo cup hawapei kipaumbele kabisa. Hao under 17 wakishamaliza league huwaoni tena. Timu ya taifa imejaa wachezaji wa simba, yanga na azam tu.Madagascar wanashiriki AFCON kwa mara ya kwanza,wamemtoa jasho GUINEA na leo wanamtoa Jasho Nigeria,hope watashinda.Wao kazi yao ni moja tu kusukuma ball haijalishi aliye mbele yao ni Nigeria ama GUINEA.Tanzania taifa stars tunafail wapi?
Jogoo la taifaUnapendekeza jina gani sasa ? Nadhani Jina halina tatizo.
Shida ya Tanzania ni siasa mbele kuliko taaluma. Kikosi cha timu kinaweza pangwa hata na waziri wa ndani, mkuu wa mkoa, Raisi, Mkuu wa wilaya au kiongozi yoyote yule. Kutokuwa na mikakati madhubuti ya kuendeleza mpira. Kuna wale watoto wa serengeti boys na ndondo cup hawapei kipaumbele kabisa. Hao under 17 wakishamaliza league huwaoni tena. Timu ya taifa imejaa wachezaji wa simba, yanga na azam tu.
Umeona eeh,yaani wanasiasa wamegeuka kuwa makocha wa Taifa stars.Shida ya Tanzania ni siasa mbele kuliko taaluma. Kikosi cha timu kinaweza pangwa hata na waziri wa ndani, mkuu wa mkoa, Raisi, Mkuu wa wilaya au kiongozi yoyote yule. Kutokuwa na mikakati madhubuti ya kuendeleza mpira. Kuna wale watoto wa serengeti boys na ndondo cup hawapei kipaumbele kabisa. Hao under 17 wakishamaliza league huwaoni tena. Timu ya taifa imejaa wachezaji wa simba, yanga na azam tu.
Madagascar anawakilisha taifa kwa ujumla(Hakuna issue za vyama). Taifa stars anamwakilisha Raisi na serikali ya awamu ya 5. Rejea kauli ya Makonda na Samata. Hapo ndiyo ujue tunafailRais wa CAF ahmada ahmada,ni mmadagascar, alikuwepo uwanjani,rais wa madagascar rajoelina alikuwepo uwanjani,mashabiki 400 kutoka madagascar wakiletwa kwa ndege aliyotoa rais(mechi ya drc)wakati hayo yakifanyika magufuli yeye alitumia ndege AIR BUS kwenda chato kupumzika,
If A=B=C A is taifa stars,B=CCM = PoliceMadagascar wanashiriki AFCON kwa mara ya kwanza,wamemtoa jasho GUINEA na leo wanamtoa Jasho Nigeria,hope watashinda.Wao kazi yao ni moja tu kusukuma ball haijalishi aliye mbele yao ni Nigeria ama GUINEA.Tanzania taifa stars tunafail wapi?
Mwenyekiti wa CAF anatoka kwao,na kwa tabia zetu wa Africa hakuna kuuliza kitu hapaMadagascar wanashiriki AFCON kwa mara ya kwanza,wamemtoa jasho GUINEA na leo wanamtoa Jasho Nigeria,hope watashinda.Wao kazi yao ni moja tu kusukuma ball haijalishi aliye mbele yao ni Nigeria ama GUINEA.Tanzania taifa stars tunafail wapi?