Boniphace mabula
Member
- Jun 29, 2019
- 20
- 10
Hahahahah Kwel sheikhTunafeli pale ilipoanza kuitwa taifa staa
Kuiombea taifa staa , ni matumizi mabaya ya maombi na kumjaribu bwana Mungu wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah Kwel sheikhTunafeli pale ilipoanza kuitwa taifa staa
Kuiombea taifa staa , ni matumizi mabaya ya maombi na kumjaribu bwana Mungu wako
Jana niliona clip akiwanunulua njumu za Adidas wachezaji.
Tunafeli pale ilipoanza kuitwa taifa staa
Kuiombea taifa staa , ni matumizi mabaya ya maombi na kumjaribu bwana Mungu wako
Ngoja nicheke ki Xhona kkkkkkkkkkkkkMadagascar wanashiriki AFCON kwa mara ya kwanza,wamemtoa jasho GUINEA na leo wanamtoa Jasho Nigeria,hope watashinda.Wao kazi yao ni moja tu kusukuma ball haijalishi aliye mbele yao ni Nigeria ama GUINEA.Tanzania taifa stars tunafail wapi?
Nimecheki huo mpira Mwanzo mwisho hadi nikamuuliza jamaa yangu hivi ni hawa Madagascar tuliopeleka majeshi yetu kutuliza mapinduzi!!? Akanijibu ndio hawa hawaSio kisenegal au kikenya au kialgeria ?
Nilikuwa namhurumia sana SamattaYaani acha tu. Kweli mpira ni ufundi siyo maneno.
Kwa nini mkuu wangu ! ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we Jamaa acha kutuvunja mbavu kiasi hiki lol! Hahahahaha
Tumeshajifunza! Miaka ijayo tutafanya vizuriUmeona eeh. Hata mimi leo nimejiuliza hawa Madagascar wanashiriki kwa mara ya kwanza. Sisi mara ya pili baada ya miaka 39.Madagascar wamemfunga aliyewahi kuwa bingwa AFCON mara kadhaa. Sisi Senegal tulimwogopa kabla hata hatujakutana nae. Halafu tuna visingizio vya uzoefu. Hawa Madagascar wao wanashinda na leo wameongoza group.
Madagascar wanashiriki AFCON kwa mara ya kwanza,wamemtoa jasho GUINEA na leo wanamtoa Jasho Nigeria,hope watashinda.Wao kazi yao ni moja tu kusukuma ball haijalishi aliye mbele yao ni Nigeria ama GUINEA.Tanzania taifa stars tunafail wapi?

PointHivi hatuwezi pata jina lingine kwa ajili ya timu hii? Kwa nini tunachanganya kiswahili na kizungu kwenye jina la timu.
Tunafeli pale ilipoanza kuitwa taifa staa
Kuiombea taifa staa , ni matumizi mabaya ya maombi na kumjaribu bwana Mungu wako