Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Sometimes tuachane na ushabiki wa Tz vs Ke na tuwe wakweli. Utafiti wa aina gani wakati walishaanza kuinywa hukohuko Madagascar kabla hata haijatua nchini? Na nasikia ilipotua hapa wakagawana! π€ π€ isitoshe utafiti unachukua miezi mingapi maana hadi leo hawajatueleza walichogundua."Serikali haijachukua dawa ya kutibu virusi vya Corona kutoka nchini Madagascar kwa lengo la kugawa kwa wananchi bali ni kwa ajili ya utafiti na uchambuzi"
Endelea kupotosha maana nyuzi zako bila kupotosha huwa unaona hujaandika chochote yaani,
Serikali Kuifanyia Uchunguzi Dawa ya Virusi vya Corona Kutoka Madagascar
Wape salaamKumbe bado korona inawatesa? ,Tanzania korona imeshaisha maisha yamerudi kama kawaida.shule zimeshafunguliwa
Hawakuwa wagonjwa waliionja tu,Sometimes tuachane na ushabiki wa Tz vs Ke na tuwe wakweli. Utafiti wa gani wakati walishaanza kuinywa hukohuko Madagascar kabla hata haijatua nchini? Na nasikia ilipotua hapa wakagawana! π€ π€ isitoshe utafiti unachukua miezi mingapi maana hadi leo hawajatueleza walichogundua...
Hayo magonjwa uliyoyataja hayaambukizi kama hiki kitu, na hayajasababisha dunia iingie kwenye lockdown, hayajasababisha tubadilishe desturi zetu za kusalimiana kwa mikono na kuziba nyuso kwa mabarakoa mpaka tunafanana mazombi.Kama suala ni vifo mbona hata malaria yanaua (tena kwa kiwango kikubwa)! Ukimwi unaua, TB inaua, hepatitis inaua, saratani inaua n.k...
Hiki ni kichekesho cha mwaka. Unaonjaje dawa ambayo hujaifanyia utafiti kuwa kama ina madhara au lah.Hawakuwa wagonjwa waliionja tu,
Suala la kukaa kimya eti kwa sababu waligundua kuwa haiko vizuri ni uongo mtupu. Kwa kuwa walitutangazia wenyewe kuwa wanaifanyia utafiti hivyo walipaswa kurudi kutueleza walichogundua badala ya kukaa kimya.Utafiti uliofanyika huenda iligundulika kuwa dawa haiko vizuri ndio maana serikali ipo kimya na hawajaagiza tena na ukumbuke ile haikununuiwi walipewa tu kwa ajili ya tafiti kwanza,
Naona wewe ndiyo unaongea speculation (stori za vijiweni). Kwa kifupi hujui chochote kuhusiana na dawa ya Madagascar.Halafu umeandika ilipotua hapa wakagawana ukiwa na maana kuwa huna uhakika na ulichosikia yaani ni story tu za vijiweni,
Hapa pia unaongea speculation au unahisi. Dawa za NIMRCAF na COVIDOL zilishatengenezwa baada ya kufanyiwa utafiti hata kabla Prof. Kabudi hajaenda Madagascar...Serikali iliongeza nguvu kwenye dawa zake NIMRCAF na COVIDOL na hizi ndio dawa zinazotumika kutibu hapa Tanzania.
Naomba fanya utafiti, japo kidogo tu, kuhusu magonjwa yanayosababishwa na virusi (virus diseases), utanielewa...Hayo magonjwa uliyoyataja hayaambukizi kama hiki kitu, na hayajasababisha dunia iingie kwenye lockdown, hayajasababisha tubadilishe desturi zetu za kusalimiana kwa mikono na kuziba nyuso kwa mabarakoa mpaka tunafanana mazombi.
Kwa kifupi, hiki kitu hakitaondoka kwa kuficha vichwa ardhini au kujichokea, lazima mapambano ya kisayansi yaendelee.
Wewe ndiye unayeleta ubishi wa kijinga. Walitutangazia wenyewe kuwa wanakwenda kufanya utafiti, walipaswa kurudisha mrejesho.Unachokifanya hapa ni ubishi wa kijinga na kupotezeana muda,
Uambiwe walichogundua ili uweje...ili uagize?
Hoja hapa siyo dawa lishe zilizotengenezwa nchini (kwa taarifa yako nazifahamu vizuri sana) bali suala ni dawa ya Madagascar. Kwa kifupi hujui chochote kuhusu suala hilo, nilichogundua toka kwako ni stamina ya ubishi tu...Dawa lishe zilizotengenezwa hapa Tanzania zimesaidia kupambana na corona kama hutaki endelea kuamini unachokiamini cha muhimu ni kwamba inasaidia wagonjwa wa corona.
Wewe unayejua ungeandika tuone na sio kutaka kulazimisha ujinga unaouandika ndio ionekane eti ni hoja ya ukweli.Wewe ndiye unayeleta ubishi wa kijinga. Walitutangazia wenyewe kuwa wanakwenda kufanya utafiti, walipaswa kurudisha mrejesho.
Hoja hapa siyo dawa lishe zilizotengenezwa nchini (kwa taarifa yako nazifahamu vizuri sana) bali suala ni dawa ya Madagascar. Kwa kifupi hujui chochote kuhusu suala hilo, nilichogundua toka kwako ni stamina ya ubishi tu...
Nani aliyekualazimisha, naona unaleta ubishi wenu wa kijinga wa Tz vs Ke hata kwenye mambo yasiyohitaji ujinga (naona huu ndiyo msamiati wako mpya). Kwa kifupi nimeshakudharau...Wewe unayejua ungeandika tuone na sio kutaka kulazimisha ujinga unaouandika ndio ionekane eti ni hoja ya ukweli.
Aliyeanza kumquote mwingine ni nani?Nani aliyekualazimisha, naona unaleta ubishi wenu wa kijinga wa Tz vs Ke hata kwenye mambo yasiyohitaji ujinga (naona huu ndiyo msamiati wako mpya). Kwa kifupi nimeshakudharau...
Crap!...Aliyeanza kumquote mwingine ni nani?
Aliyeanza shobo ni wewe maana umekuja na bla bla eti mara umesikia dawa ilipotua tu wakagawana wenyewe!
Kungekuwa na sababu ya kuwatangazia mngetangiziwa ila ukiona kimya ujue hakuna umuhimu.
Folly!Crap!...
Naomba fanya utafiti, japo kidogo tu, kuhusu magonjwa yanayosababishwa na virusi (virus diseases), utanielewa...
Tanzania ugonjwa haujaisha, ila umepungua sana, ndio sababu serikali inasema tuchukue tahadhariKumbe bado korona inawatesa? ,Tanzania korona imeshaisha maisha yamerudi kama kawaida.shule zimeshafunguliwa
Mwambie Uhuru aongeze makali ya lockdown, yani iwe marufuku mtu kutoka nje mpaka siku wagongwa wa corona wakifika negative 0 ndio mnatoka ndani!Tatizo vifo vinaendelea kushuhudiwa, hivyo ni vigumu kujichokea.....
Nakubaliana na wewe kwenye suala la kuchukua tahadhari lakini nikueleze tu kuwa magonjwa yote yanayosababishwa na virusi hayana dawa bali wanahangaika na dalili tu (symptomatically). Treatments can only help with symptoms while you wait for your immune system to fight off the virus. Antibiotics do not work for viral infections...Tangu hiki kitu kianze kuyumbisha dunia, nimetafiti hadi basi, nimekua nasoma kukihusu kila siku, na pia kukilinganisha na magonjwa mengine yakiwemo yanayosababishwa na virusi. Kwa kifupi dunia iko sahihi kwa kuchukua tahadhari hadi pale dawa ya uhakika itapatikana, na yenye bei nafuu......
Huyo dogo anapenda neno la kujichokea...utadhani ni mtoto anayeanza kujifunza a e i o u....kujichokea ni nini ndugiu..kama huna msemo mingine tuambie tukupe unatuchosha sasa. Afu tu nikujibu kistaarabu ukitaka kujua mambo ya tz wala huna sababu ya kuharisha kqa usiyojua huku. Unajionesha ulivyo na hasira na roho mbaya. Tafuta wakenya ambao wamejazana huku waulize. Kama huna watafute wale wanaofahamika huku wapo wakenya kwenye timu zetu kibao wanafurahia maisha. Hicho kitu unachojifariji nachonhatuwezi fanana. Hutaki au unataka tatizo la corona limebaki historia huku. Hakuna anayekufa na kils wiki tunafunga vituo tulivyokuwa tumevitenga. Hakuna aliyejichokea huku maana hatujafungia. Tunapiga kazi kaziaana hapa ni kazi tu. Kama unaendelea kubabanywa ili tujue unajua kuchonga endelea ila siku mojs utakosa chs kubwabwanya huku. Mi nifanya kazi hospitalini tena za serekali hakuna wagonjwa wa corona. Mitaani the same. Ninyi wakenya mlikosea sana pale mlipomdharau Mungu mkajifanya wana sayasi wakati hata sayansinyenyewe inakataa lockdown zenu. Na sasa hivi mnachokipata ni fundisho kwamba Mungu hadhihakiwi. Sisi tulijua hatuwezi tukaamua kumtegemea aliyejuu ya wanasayansi wote na tumeshavuka huko hata kama ukisikia hivyo inakuuma lakin huo ndio ukweli. Unaweza tengeneza story ndefuuu but ukweli unaujua na ukweli haujifichi. Huwezi kuficha vifo wala ugonjwa. Ila kws vile unatafuta tufanane wewe endelea kuropoka tu huku sisi tunadunda. PoleniHayo magonjwa uliyoyataja hayaambukizi kama hiki kitu, na hayajasababisha dunia iingie kwenye lockdown, hayajasababisha tubadilishe desturi zetu za kusalimiana kwa mikono na kuziba nyuso kwa mabarakoa mpaka tunafanana mazombi.
Kwa kifupi, hiki kitu hakitaondoka kwa kuficha vichwa ardhini au kujichokea, lazima mapambano ya kisayansi yaendelee.