Madagascar waongeza lockdown baada ya kirusi kuzingua balaa, hivi hawa si ndio Wabongo walifuata dawa yao kwa ndege

Bado tuko kwenye stage za mwisho kuanza kuigawa kwa watanzania.. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] πŸ˜‰ πŸ˜‰ πŸ˜‰
Sisi hatuumwi. Kazi tuliyonayo ni kuwahamisha ndugu zetu walioko huk o msije kuwaua kwa hasira zenu za kushindwa.
 

Hehehehe!!! Pole naona imekuingia vibaya, ila ndio huo ukweli, tatizo hautaki kuambiwa kama ilivyo, na utachoka sana bro maana utakumbushwa kila siku kwamba mumejichokea kwenye safari dhidi ya hiki kirusi na kuachia liwalo na liwe, wa kufa afe na wa kupona ajiponee, hamna mbinu hata moja mnayotumia ya kisayansi au kitaalam, mnajipa mizuka tu ya kujiaminisha kwamba hamna corona, imepona kwenu.
 

Uko sahihi, ni kweli kirusi hakina dawa ya kuponya ila dawa hubuniwa za kupunguza makali, kama ilivyo kwa HIV, binafsi sikumaanisha tusubiri dawa ya kuponya na tusitegemee wala kuitarajia. Uzuri wa hiki kirusi haki-mutate sana, hivyo watalaamu wanapambana kupata kinga dhidi yake, haitakua na ugumu kama wa HIV.
Mpaka sasa kuna aina kadhaa ya madawa ambayo yanafanyiwa majaribio, hususan kwa ajili ya kusaidia kupunguza siku unazoumwa corona.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ the thing You don't know is that we took SAMPLE to test the standards before consumption
 
Ukiiongelea tz naomba uwe na heshima bro. Nangojea kurudi mku Hadi leo border hamjaiopen.
Hivi, haujiulizi tz ina nn cha ziada ambacho kimeufunika ugonjwa huu? Huu ugonjwa haufichiki, vifo havifichiki ndugu. Tz tungekuwa tumeumbuliwa Kwa naelfu ya vifo Kwa sasa. Kwaivyo, naomba ujiulize tz imefanya nn cha ziada?
Ni vyema maraisi wangeandaa (WHO) press conference wamuite magufuli kama mgeni wa heshima, aihutubie dunia jinsi ya kujikinga dhidi ya huu ugonjw
 

Vifo Afrika havishuhudiwi kwa maelfu, hata sisi ambao hatufichi kama mnavyofanya, mpaka sasa Kenya tuna vifo 160, pona yetu Afrika ni kwamba kuna namna moja au nyingine hatufi kwa hiki kitu. Hivyo hata kukificha sio kazi ngumu, haswa kwa nyie ambao mumefanya kuumwa corona kama ni aibu fulani hivi.
 
Wakenya acheni ubishi pigeni nyungu

Kunyweni tangawizi,vitunguu swaumu na limao. Corona kwisha habari yake mpaka tunafanya matamasha ya shukrani,shule tumefungua. Ebo Tanzania ipo imara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…