Kwa hiyo mbwembwe zote zile! Tukapeleka na ndege maalum kabisa kwenda kuchukua mzigo! Prof akapiga picha akigigida lichupa la juisi hadharani! Yote hayo ni kazi bure! 😇
Shetani na makala wake waanza kushika zamu zao kwa kasi ya kutisha. Mungu hajawahi kushindwa. Akili za mwanadamu haziwezi kuchunguza na kujua matendo makuu ya Mungu bila ya msaada wake.
Chanjo zinako zalishwa zinapingwa na kutiliwa shaka kwa kiasi cha kutosha. Wakati huo huo wengine wameamua kuchagua utahira wa kutojifikirisha, kulikoni? Corona free passport.
Sasa hili povu humu utafikiri mlinyweshwa hizo dawa za Madagascar,serikali haikuzinunua ilipewa na kuja kuzifanyia majaribio na wakati huo hakukuwa na chajo na serikali haikuwahi kugawa kwa raia hadi sasa hili povu la nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.