Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
- Thread starter
- #21
Huu mwaka mamento fresh mtakuwa wengi sana.
Tena wewe ndo mento namba moja usietaka kuelewa ukweli wa uzuri wa Katiba pendekezwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mwaka mamento fresh mtakuwa wengi sana.
Tena wewe ndo mento namba moja usietaka kuelewa ukweli wa uzuri wa Katiba pendekezwa.
mmebaki wachache sana, na mtajikuta jangwani peke yenu. Watanzania tumeshaamua 'katiba ya chenge hapana!. Matusi ya mwendawazimu huwa hayaumi kwa sababu ni sehemu ya wehu wake na hayabadilishi ukweli.
katiba ya pendekezwa ni ya ccm ile ya wananchi ndio tunayoitaka sisi tulimpa mrejesho jaji warioba ili ikienda bungeni ikaongezwe makali zaidi sio kwenda kutoa maoni yetu na kuweka ya mazebe wachache sasa tutaona kati ya hao waroho wa madaraka wenye hofu ya maisha na sisi wananchi tuliowatama nani zaidi.
Jukwaa la Wakristo Tanzania madai yenu kuhusu suala la ulinzi na usalama nawashauri muipate Katiba Inayopendekezwa na muisome kwa makini Katiba hiyo katika SURA YA 17 mtapata majibu mazuri ya wasiwasi wenu kuhusu usalama wa nchi.
Kuhusu suala la Muundo wa Serikali, wajameni SURA YA 7 ya Katiba Inayopendekezwa imeeleza wazi wazi juu ya Muundo wa Jamhuri ya Muungano katika IBARA YA 73.
Kuhusu masuala ya mauaji ya watu wenye ualbino, nadhani kila siku mnasikia wahusika wanavyokamatwa haswa waganga wa jadi pamoja na wauaji, lakini pia kuna kesi mbalimbali zinaendelea na nyingine zimeshatolewa hukumu kali.
Kuhusu kuwataka waumini wenu wote wajitokeze kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kuisoma Katiba Inayopendekezwa na kushiriki kikamilifu vipindi vya elimu juu ya Katiba Inayopendekezwa na kisha wajitokeze kwa wingi kupiga kura ya hapana kwa Katiba Inayopendekezwa kwa sababu mlizozitaja hapo mmechemsha, kwasababu msidhani kuwa waumini wote watafanya hivyo, nina amini wapo waumini wenye busara na wenye uelewa juu ya ukweli wa mambo mazuri yaliyoelezwa ndani ya Katiba Inayopendekezwa ambao hawatapoteza haki yao ya kufanya hivyo mlivyopanga.
Lakini pia hivi hamuoni kuwa mtakuwa mmemkosea Mwenyezi Mungu kwa kuwashinikiza waumini wenu waipinge Katiba hiyo? Kwani hata Biblia yenyewe inasema ya Kaisari mpeni Kaisari nay a Mungu mpeni Mungu, sasa udikteta huo mnaowafanyia waumini mmeupata wapi? Dini mnaiingiza na siasa tena jamanai? Tanzania ni nchi isiyokuwa na dini, kuweni makini msije mkaulizwa na Muumba wenu je kwanini mliwanyima haki waumini wenu katika Mamlaka ya Dunia. Kuwenu mfano wa mbele katika kuelimisha waumini badala ya kuwashinikiza waikatae. Huo sio uungwana kabisaaaaa!.
too late my friend, ngoma inapita hii, kama umeishiwa hoja kalale.
Nani aliandika katiba inayopendekezwa?
naukiza katiba pendekezwa ina kipengele cha mahakama ya kadhi??
Mmebaki wachache sana, na mtajikuta jangwani peke yenu. Watanzania tumeshaamua 'KATIBA YA CHENGE HAPANA!. Matusi ya mwendawazimu huwa hayaumi kwa sababu ni sehemu ya wehu wake na hayabadilishi ukweli.
SNAKE wewe ndio unakuja na jazba, mm mwenzako nilikuwa km wewe nililielewa lile tamko juu juu.toa hoja acha matusi, hakuna snake hapa
Mahakama ya Kadhi yawavuruga wabunge - Kitaifa - mwananchi.co.tzMbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy alisema hakubaliani na suala la kuitambua Mahakama ya Kadhi kisheria akisema hiyo si miongoni mwa Nguzo Kuu za Uislamu
Kwa hiyo na sisi ni mambumbu pamoja na wabunge wanaotaka kupigana leo kuhusu Mahakama ya KADHInaukiza katiba pendekezwa ina kipengele cha mahakama ya kadhi??
Kwa hiyo na sisi ni mambumbu pamoja na wabunge wanaotaka kupigana leo kuhusu Mahakama ya KADHI
Kama katika Katiba pendekezwa hakuna mahakama ya kadhi kwanini ijadiliwe leo na Rais keshakanusha hakuna kitu hicho Kila DINI ishighulike na masuala hayo.
Kitende tu cha kuuingiza MUSWADA HU WA MAHAKAMA YA KADHI hapo kesho ni jibu tosha kwako nani ni mwerevu
na kikishapitishwa utakiondoaje na umeshasema MAHAKAMA YA KADHI IWEPO?
Na ikishakuwepo Katiba itakiingiza aua kukikataa wakati imeshakuwa Sheria
Dada yangu Mkirsto kaolea na Mwislamu halafu kafumaniwa na kaka wa huyo Mumewe adhabu ya mawe inawahusu wote Dada ngu Mkristo na huyo Mwislamu au
umeiba Kuku kwa jirani unakatwa mkono na huyo Ruge anayegawa hela za Escrow wanakamatwa waliopewa tu
Ni bora wewe uliyekatwa mkono wa kulia kwa kuipa Kuku na unamaliziwa wa kushoto kwa kukutwa na mbuzi?
wakati watu wana malizana na PAP, Mabibo, Meremeta wanashangiliwa