Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,274
- 5,938
Kwenu wana jamii
Jana Polepole alirudia Madai yake ya Magufuli kuuawa na pia kuwa na Tishio la kuuawa hata kabla haijatokea
Wana JamiiForums wakongwe na waliobahatika kusoma hapa JF kabla ya kifo cha Magufuli ulikuja humu uzi ulioandoka kifo cha Magufuli, ile thread iliandikwa kwa code tena code nyepesi sana wengi waliifumbua, bahati mbaya ule uzi ulipotea baada ya kifo cha Magufuli. Niliutafuta sana sikuwahi uona tena.
Code ile ilikuja kufanana sana na maelezo ya Mkuu wa Majeshi mstaafu alipopata elelezea mazingira ya kifo cha Hayati Magufuli
Bila shaka ule uzi ni ushahidi wazi Magufuli aliuawa. Kwakuwa ulikuwa kwa kumbukumbu zangu miezi 3 au 4 kabla ya tukio halisi.
Swali upo wapi ule uzi?
Wangapi mnaukumbuka na mliusoma ule uzi?
Nikumbushe tu kigodo ule uzi code ilivokuwa mtakaoukumbuka mtashuka pia chini hapo yale maelezo.
Ikiwapendeza moderators waurudishe its a high time we raise curiosity on this
Code ilieleza mzee yupo kwenye target ilikuwa around November ama December kama nakumbuka. Ikasema Jiwe atakufa within 3 months
Ikaendelea kusema Makamu atakuwa Mkuu ila hatadumu atapigwa chini within no time na atakuja Mwingine kuwa juu Yake
Nakumbuka hayo machache na kweli ilikuja kutokea tangu kipindi kile huwa nahisi ni ndoto pengine ule uzi sikuusoma na kuuchangia hapa JF lakini ukweli unabaki niliusoma hapahapa JF na ile ndio hakika Madai ya polepole ni ya hakika
God heal our country
Naomba uzi huu usiunganishwe