No, Mungu alipotuumba na kutupulizia pumzi ya Uzima, Life Force, ina nguvu za Uungu ndani yake, hivyo Mungu yumo ndani yetu kupitia Roho, mtu akifa, kinachokufa ni kiwiliwili tuu na sio Roho, hata ulisikia mtu amekata Roho, alichokat huwaa ni pumzi, Roho huwa inaondoka inaacha mwili.
Pamoja na Mungu kutupa Roho au pumzi ya uzima, life force, pia alitupa utashi wa kuchagua mema na mabaya. Tukichagua mema, tumemfuata Mungu, tukichagua mabaya tumemfuata shetani, Lucifer, Ibilisi.
Kwa vile una Mungu ndani yako, shetani hawezi kufanya lolote bali hutumia ushawishi na uamuzi wa kumfuata shetani huamuliwa na wewe kupitia ule utashi, ndivyo ibilisi alivyomshawishi Eva/Hawa tunda likamegwa na Eva kumshawishi Adamu naye akamega, wakatenda dhambi, na karma yake ni kuzaa kwa uchungu. Hivyo shetani hawezi kutuma mtu bali kushawishi,
uamuzi wa kumfuata ni wako na karma ii juu yake.
Miongoni mwa matendo mema ni kitu kinachoitwa kutii na utii kwa mamlaka halali. Mtu aliyeajiriwa kunyonga watu gereza za Isanga, kunyonga ndio kazi yake, hata mtu akihukumiwa kwa makosa, mnyongaji akamnyonga an innocent victim, karma ya dhambi ya kuyongwa kwa an innocent victim is upon aliyetoa hukumu hiyo, na sio rais anaye saini death warrant wala mnyongaji anayetimiza wajibu wake.
Hata shambuluzi la Lissu, wale wasiojulikana, kama walipewa amri halali na wametekeleza wajibu wao, karma ya shambulio hilo is upon aliowapa amri na sio watekelezaji.
Wanabodi, Tangu kutokea kwa shambulizi kwa Mhe.Tundu Lissu, ambalo mpaka sasa linaelezwa kufanywa na watu wasiojulikana, kumeibuka shauku kubwa ya watu kutaka kuwabaini hawa watu wanaoitwa ni watu wasiojulikana, ni kina nani?, wanatumwa na nani? na lengo lao ni nini?, kunakopelekea kujengwa kwa...
www.jamiiforums.com
Pia somo la karma nimeisha lifundisha sana humu jukwaani.
Wanabodi, Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。 Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya, anasema "namwachia Mungu!", au neno "Malipo ni hapa hapa duniani!". likitokea jambo zuri lolote watu...
www.jamiiforums.com
Wanabodi, Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari Azory Gwanda, kuibuliwa kwa miili yenye majeraha kwenye viroba, au vitendo vingine vyovyote vya...
www.jamiiforums.com
P