Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,076
- Thread starter
- #101
hatus
Anayeagiza na anayetekeleza amri hiyo wote wana makosa na laana itawatafuna na wala haitawaonea huruma
Sisi hatusemi kuwa Jiwe hana makosa............Mnaanza kutuaminisha kuwa jiwe ni mwema katika hili na hausiki nyie wana propaganda mnachekesha, hapa alaaniwe alienza kutoa kauli za kukamata watu hovyo kwanza, serikali nzima inayoonea raia wake na polisi wanaotekeleza maagizo kutoka juu na mahakama zinazoshindwa kujua wajibu wao katika kutenda haki.
Anayeagiza na anayetekeleza amri hiyo wote wana makosa na laana itawatafuna na wala haitawaonea huruma