Mayor Slum
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 776
- 1,177
Huyu Paschal anazani wote MafaraMkuu Mystery, kwanza naunga mkono hoja kuhusu kulaaniwa wale wote wanaosababisha mateso kwa wenzao.
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, hivyo kwa mujibu wa karma, watakao laaniwa sio polisi wala waendesha mashitaka, bali aliyewatuma. Hao polisi huwa hawaamki tuu na kumbambikia mtu kesi, bali hutumwa!. Polisi na waendesha mashitaka wao wanatumwa tuu, hivyo wanatekeleza majukumu yao kwa mujibu wa ajira zao za kutii mamlaka, ni sawa tuu na wale waliomshambulia Tundu Lissu, kama ni utekelezaji wa amri halali, kwa mujibu wa sheria ya karma, hawana kosa lolote, na hawatapata laana yoyote, bali aliyewatuma.
Kwenye hili la Kabendera, kwa vile na mimi nimetajwa kuwa eti ndiye niliyemchomea kupitia makala zangu humu, jf, kama kweli lengo la makala zile lilikuwa kumchongea mtu au kumchomea, kwenye karma ya Kabendera, nitakuwa na sehemu yangu, lakini kama niliziandika genuinely for informative porpoises only na sio kuchomea mtu, hata kama ni kweli makala hizo ndizo zilizochochea kumkuta yaliyomkuta, I'll be totally innocent and no karma reprisals will befalls me.
![]()
Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola
Niombe wasomaji wangu muelewe kuwa sina nia mbaya ninapojaribu kuja na uchambuzi wa namna hii. Lengo langu ni kuoneshana kuwa nchi yetu iko hatarini hasa pale taaluma moja ambayo Taifa linawategemea wanaposigana katika jamii nani anayeumia zaidi! Nakumbuka siku za hivi karibuni gazeti la the...www.jamiiforums.com
![]()
Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake
Wanabodi Tangu kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za kiuchunguzi Eric Kabendera, na kukamatwa kule kukahushishwa na makala zake, na kwa vile ni mimi niliyekuwa natafsiri makala za majarida ya nje na kuzileta humu jf, hivyo nikatuhumiwa kuwa ni makala za jf ndio zimemchongea Eric Kabendera...www.jamiiforums.com
P
Issue ya kabendera ilikuwa direct kutoka kwa jiwe na angedakwa kimya kimya sizani kama angekuwepo mpaka sasa
Hata mashitaka aliyopewa na ya kumbumba tu but in realty ukweli kabisa unajulikana nani anahusika hapo 100%
Usitufanye sisi wajinga acha kupotosha
Sent using Jamii Forums mobile app