Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,616
- 14,106
Ogopa matapeli wa mjiniNimeshtuka kidogo, mtu anakuambia nipe 25k nikupe umeme 200units
Mamlaka zetu haziaminiki kabisa, watendaji wake ni waroho sana na Hawana nguvu za kuishinda dhambi ya kula rushwa,pia mamlaka zetu hazioni jambo hili ?ambalo mwananchi analiona na kulalamika ila mamlaka ziko kimya tu,bila kuchukua hatua stahiki ?
Ushawahi nunua chochote kwa mchina maisha yako yote. Chochote kwa mchina yoyote, popote pale duniani?Mamlaka zetu haziaminiki kabisa, watendaji wake ni waroho sana na Hawana nguvu za kuishinda dhambi ya kula rushwa
Kwa hiyo ni uongo? Ni tuhuma dhidi ya wachina mkuu.Ogopa matapeli wa mjini
Si mlikua mnawasema wasouth kuwa wanawafukuza wageni kwa sababu wanachukua ajira zao na nyie mbona mnawaonea wivu wachina mmezoa kupandisha vitu beiMuda huu nasikia kipindi cha Good Morning,kinacho rushwa na WSF na Kuna shutuma zinatolewa kwa Wachina kwamba wamekuwa chanzo Cha matatizo kadhaa hapa nchini.
Wachina wanashutumiwa kusababisha uhaba wa dola,hawatoi risiti,hawana vibali vya Kazi,wanafanyakazi za wazawa nk
Binafsi naomba kuuliza humu kwa GT ,kwamba hizi shutuma dhidi ya Wachina niza kweli zote au zingine zimetiwa chumvi na wafanyabiashara baada ya kukutana na changamoto mpya za kibiashara toka kwa wageni ?
Na,pia mamlaka zetu hazioni jambo hili ?ambalo mwananchi analiona na kulalamika ila mamlaka ziko kimya tu,bila kuchukua hatua stahiki ?
Yes hiyo nzuri, pesa za safari za china na Accomodations unaongezea stockKwa hiyo siku hizi hakuna haja ya kwenda China kufata mzigo, wachina wanaleta wenyewe hadi kariakoo?
kwani hao wabongo wenyewe wanatoa risiti, kariakoo ukiomba risiti wanakuona kama mchawi, mtu unaomba risiti anakutolea jicho hilo kama umemkoseaMuda huu nasikia kipindi cha Good Morning,kinacho rushwa na WSF na Kuna shutuma zinatolewa kwa Wachina kwamba wamekuwa chanzo Cha matatizo kadhaa hapa nchini.