Madai ya Wafanyabiashara wa Kariakoo dhidi Ya Wachina ni ya kweli ?

Nimejiuliza wachina wanafanyaje kuuzia wanachi LUKU kwa bei rahisi? Kuna mmoja amesema ukitoa elfu 25 unapewa Unit 100 yaani Bei Kitonga nusu nzima.
Itakuwa ukimpa namba ya mita. Anaenda kumpa mtu mwenye access na system ya kununulia umeme ili mita iwe inapata umeme mwingi kwa bei ya kiwanda. Na wachina ndio wanamiliki viwanda vingi. Janja janja lazima wazijue
 
Ili nchi iendelee haraka lazima kuchanganika race muhimu sheria zizingatiwe tu ila sio kuwazuia waelekezwe namna nzuri ya kufanya biashara hapa kwa kuzingatia taratibu zetu.
 
Itakuwa ukimpa namba ya mita. Anaenda kumpa mtu mwenye access na system ya kununulia umeme ili mita iwe inapata umeme mwingi kwa bei ya kiwanda. Na wachina ndio wanamiliki viwanda vingi. Janja janja lazima wazijue
Uhujumu Uchumi ,hao wachina inabidi watafutwe warudishwe kwao wakale CHUMA.
 
Hapa wasomi wetu wanawatetea wachina na wataendelea kuwatetea Kwa sababu China inatoa ufadhili wa masomo yaani scholarship bwelele kabisaaaaa! Na wanatoa ufadhili sanasana Kwa waajiliwa wa serikali.

Wachina ni wajanja sana, walijua sisi tunapenda sana kusoma na kupata degrees, wakaona hapa ndipo pakupitia. Sasa, wafanyabiashara hata walalame vipi No kusikilizwa
 
Wachina wengine wanauza bidhaa mpaka vijijini hadi kwenye minada na magulio ya vijiji vya ndanindani. Wachina wengine wanauza bidhaa hadi kwenye mitumbwi visiwani ndani ndani. Nguo ya 20000 kwa mtanzania mchina anauza elfu saba
Mmh sasa hapo imekuwa too much🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…