rais-muislamu
makamu wa rais......muislam
rais wa zanzibar.......muislam
makamu wa 1..........muislam
makamu wa 2..........muislam.
igp.........................muslam.
mkuu tss................muislam.
jai mkuu.................muislam.
waislamu mungu awape nini muache kulalamika?
mimi nashauri uchaguzi wa 2015 nafasi zote za juu ziachwe kwa waislamu ili waridhike kwa sababu wao ndio wa kwanza kuichagua ccm,ccm imekuwa ikiwahadaa miaka na miaka lakini badala ya kuona ni wapi walipokwama wao wanalalamikia ukiristo.
waislamu kwa sasa wako radhi kuisamehe ccm hata ikiwafanyia baya kiaso gani kisa rais na mwenyekiti wa ccm ni muislamu mwenzetu muislam na ili uwajue ni watu wa namna gani mabaya yote ccm inayowafanyia sasa watakuja kuiadhibu siku raisna mwenyekiti wa ccm ataka[po kuwa mkristo.
waziri mkuu pia.......... muislam
mwenyekiti wa tume ya katiba ni ............muislam
spika na naibu wake ni ............waislam