Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wanadai China ni rafiki yao, rafiki huyu mapenzi yake yako kwenye nyara za serikali na madini ya nchi kuliko kwa marafiki zake.Na kile chama kinacho mwalika balozi wa kichina na kuvaa sare yao wao nao wamepewa barua?
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
bure kbs hawa...hebu imagine huyo balozi ni demu na ana mahusiano ya karibu na Zito, sasa hapa si tutasema msajili wa vyama vya siasa anamuonea wivu wa KIMAPENZI Zito?!.
Kuna jitu huwa halitumii akili kufikri!
Ulikuwepo kwenye maongezi hayo?Acheni uzushi, mh zitt anashutumiwa kutafuta msaada wa kifedha kwa ambassador ambap ni kinyume na sheria za uchaguzi.